Binafsi nadhani soka kwa sasa imeshuka kwa kweli. Wakati mwingine wachezaji wa aina ya akina (Roy Keane, Patrick Viera, Paul Ince, Edmundo, Efenberg, Marco Materazzi, Keown nk) walichangamsha soka. Lakini kwa soka la sasa figure kama hizo hazipo tena. Mfano ukiangalia team za England, Italia...