Recent content by Lussadam

  1. Lussadam

    JamiiForums Tanzania Trump, anatafuta pakutokea anasema Nimeombwa Qatar, Saudi Arabia, United Arab Emirates, nisiwashambulie Iran.

    SASA ANAYEPASWA KUKANUSHA KUWA HII SI KWELI NI HAO WALIOTAJWA AU WEWE??? NAFIKIRI TUNAPASWA KUAMINI ALICHOANDIKA MPAKA PALE TAMIM BIN HAMAD AL THAN, MOHAMMED BIN SALMAN AL SOUD NA MOHAMED BIN ZAYED AL NAHYAN WATAKAPOSEMA SI KWELI
  2. Lussadam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wivu wa mapenzi wasababisha familia nzima ifukuzwe kutoka Uingereza

    Mwanaume alikuwa Uingereza kwa hisani ya mkewe. Baada ya mke kupata visa, akamuombea mme Dependent Visa. Mwanaume kwa aina ya hii ya visa hawezi leta mtu Uingereza
  3. Lussadam

    JamiiForums Tanzania Kuhusu suala la Mwigulu Nchemba; Elimu ya msingi kuwa miaka kumi

    MZEE UMESHINDWA KUMUELEWA. AMESEMA HIVYO BAADA YA SERIKALI KUAMUA KUWA ELIMU YA MSINGI NI KUANZIA DARASA LA KWANZA MPAKA KIDATO CHA NNE. HIVYO KWA SASA KIDATO CHA NNE NI ELIMU YA MSINGI
  4. Lussadam

    JamiiForums Tanzania Haya maneno yanayosambaa kuhusu Group O+ yana ukweli au ni tabia ya mtu ?

    Basi idadi kubwa ya watu duniani ndo wana tabia hizo,sababu duniani zaidi ya 30%ya watu duniani ni O+
  5. Lussadam

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Marekani kuivamia Venezuela

    Cuba njaa kali sana
  6. Lussadam

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kufunga Mfumo wa Gas (CNG) Kwenye Subaru Forester.

    Si kweli,weka evidence
  7. Lussadam

    JamiiForums Tanzania Weekend yangu imeanza vibaya sana, Kioo cha simu kimepasuka, kubadilisha laki 4

    Tafuta tecno ya Laki na Nusu
  8. Lussadam

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

  9. Lussadam

    JamiiForums Tanzania Mwamba Osama Bin Laden kwa sasa atakuwa anaishi wapi? Baada ya Marekani kutudanganya

    Wahi Mirembe kabla haujaingia Wahi Mirembe kabla haujaingia stage ya kuvua boksa
  10. Lussadam

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

    Mvuta bangi maarufu ndugu Bob Marley ni maarufu kuliko waTanzania wote. Mvuta bangi mwingine maarufu ni Barack Obama
  11. Lussadam

    JamiiForums Tanzania Naombeni kwa watu wanaojua sheria mnisaidie kwa hili kuna familia inazurumika

    Mali huwa ni za mke na mume,siyo za watoto. Mume alipofariki mali ikawa ya mke. Na alipoolewa mali ikawa ya mke na mme mpya. Mke alipofariki, mali inabaki kuwa ya mume. Kuhusu mama kuandika jina la mwanaye kwenye nyumba, inawezekana alikuwa sahihi sababu baada ya mmewe wa kwanza kufariki mali...
  12. Lussadam

    JamiiForums Tanzania Silaha mpya ya nyuklia ya Marekani yaleta tishio zaidi kwa ustaarabu wa binadamu

    ALICHUKUA UBINGWA LINI? BAADA YA KURUHA UMBALI GANI??
Back
Top Bottom