Consumption yake ya kawaida sana japo mi natumia model ya zamani kidogo hizi za sasa sijajua maana zinaboreshwa zaidi. Pia ni jiko salama kabisa hata uliacha on linajizima na haliunguzi kitu chochote ukiweka juu tofauti na sufuria yake
Tofauti na majiko mengine ni kwamba haya yanapika kwa process ya magnetic induction inayozalisha eddy currents ambayo effect yake ni kupasha sufurua ya chuma moto na sio heating coil ambayo inatumika kwenye majiko mengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.