Recent content by Lusam

  1. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni Jibu...!!!

    Ndoroboooooooo wewe....
  2. L

    JamiiForums Tanzania USAHIHI wa alichokisema NAPE leo katika Uwanja wa Mazingira Bora - Karatu

    Huyu Dada ni msaka tonge ni kati ya watu wabaya wa demokrasia ya nchi hii. Mimi siku zote naomba mungu awalaani watu wa namna hii.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    Kaka hapa CCM hawatachomoka, hii zambi ya kutaka kumuua DR slaa itawatafuna
  4. L

    JamiiForums Tanzania Albert Msando afunguka kuhusu Zitto Kabwe

    Ataenda ACT, Chama cha upinzani kilichoanzishwa na CCM.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NSSF

    Mmhhh. Kweli?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NSSF

    Nimesikia kuhusu kuitwa kazini mwezi april mwaka huu watu 80 waliofanya interview IFM na DUCE. Je ni kweli?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Robert Mugabe ateuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa AU

    Yes. nami nampa hongera sana President Mugabe, nazani sasa Africa itarudisha heshima yake ambayo ilipotea kwa muda mrefu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujaapisha viongozi Migombani

    WaHabari wana JF. Asubuhi ya leo nilikuwa nikisoma Post inayosema serikali haijamuapisha mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Migombani huko Segerea. Nilishangazwa sana na comments zilizotolewa na mtu mmoja anaitwa MUSSA ALLAN. Kijana huyu, Faiza Foxy na wengineo walioko humu JF wanamkosea sana...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) anastahili pongezi

    Pia ameibadilisha sana Mbeya kiasi cha kutishia uhai wa CCM
  10. L

    JamiiForums Tanzania ESCROW: Hatimaye Tibaijuka, Chenge watumiwa ankara kulipia kodi

    According to income tax Act Gift ni taxable thus why ndo mana wanatakiwa kulipa kodi kwa zawadi hizo walizopokea
  11. L

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Warioba
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaingilia Bunge kuzuia suala la Escrow lisijadiliwe!

    Kizazi chako chote kilaaniwe
  13. L

    JamiiForums Tanzania TBC mmeniacha hoi kama sio kunishangaza!

    Huwa siipendi CCM na wala sina muda wa kusikiliza ujinga wao lakini niseme tu mtangazaji wa TBC alikua yuko sahihi kumtambulisha Kikwete maana si wote wanaoangalia TBC ni watanzania na si wote wanamjua Kikwete, kwa hiyo ilikua ni sawa kumtambulisha.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu, TBC1 yashika nafasi ya mwisho

    Mtu mwenye akili timamu hawezi akaangalia Habari/ taarifa za TBC. Na hawa TCRA wajiandae kupigwa chini kwa kufanya research ya kuizalilisha TBCCCM.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Serikali sikieni kilio chetu, simamisheni ajira 70 za wakaguzi wasaidizi uhamiaji!

    Tayari zimesimamishwa soma Tanzania Daima ya jana. Ule mchakato lazima urudiwe maana ni aibu ni undugurisim.
Back
Top Bottom