kijiichake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 284
- 58
Leo wakati kikwete anaongea na wazee wa ccm mkoa wadodoma amezungumzia mengi na kwa muda mrefu, ila kilichonishangaza na kunichekesha ni pale kikwete alipomaliza kuhutubia, akaitwa balozi wa miaka tisatisatisa lusinde ambae pia ni Mwenyekiti wa wazee vilaza hao wa Dodoma, ndipo TBC ikahamisha matangazo yake gafla na kuanza kutoa maelezo ya mile kilikuwa kikiendelea pale, mtangazaji mwanamama akasema basi mpendwa mtazamaji Hugo aliyemaliza kuongea na kuhutubia Hapo ni dokta jakaya kikwete ambae pia niraisi wa jamuhuri ya watu watanzania, duh imenibidi nicheke Kwa sababu kuna maswali mawili yamenijia akilini mwangu kujiuliza yaani nani hamjui kikwete na wadhifa wake katika nchi hii? La pili watanzania wanawezaje kukaa na kumtizama kikwete na ngonjera zake kama hawajui yeye ni msanii? Tatu ilikuwa na maana gani Kwa mtangazaji huyo kumtambulisha kikwete Kwa watazamaji kana kwamba ndo mgeni? TBC sijui inafikiri hatumjui wala hatuja wahi kumjua au kumwona kikwete hivyo ikabidi watupe maelezo kutokana na yeye kuwa kiguu na njia nche ya nchi? Hay a Sasa kikwete karibu tz nchi yako ya ugenini.