Mkuu unajua mnaongelea haya mambo embu muwe basi mnajua hata mnaongelea nini? namna mnavyotetea mnaonekana kabisa hamjui nini mnaelewa mfano wa makosa nayoona wengi mnayafanya ni kuita geti badala ya gati ........... hapo tuu inaonekana kabisa wazungumzaji wengi hawajui bandari hata kidogo hata...
TANZANIA sasa naona tunaaanza kukuaa kifikra , kiukweli watu huwa wanata mtu awe na upande mmoja mzuri wanao ujua wanasahau kwamba kama hizi nyuma tunazo kila mmoja wetu lakini still tunajitahidi kufanya mazuri.
bro nimekupenda bure upo positive naamini kama jamaa anaelewa basi ataacha kufanya...
ni waajabu kila dakika BRO naamini baada ya kubezwa na kukatishwa tamaa kuna kiti utakaa, embu sasa tuambie DAR ES SALAA, LINI TENA MAANA WENGINE KUTOKANA NA MAJUKUMU YA HAPA NA PALE TUMEKOSA EMBU TUPE TAREHE MAPEMA ILI TUWEZE KUJUA MAPEMA NA TUPANGE RATIBA MAPEMA.
SALUTE BOSS
atleast kumekuwa na mtu aliyejaa ujasiri kuzungumza haya wazi.
hakutakuwa na ambaye atajitetea baada ya ujumbe huu naona umetosha kabisa mwenye fikra ya pili kubadili mara moja , siku zote kumbuka sio wewe unaifaidi porn bali porn inakufaidi wewe.
kama nilivyokwisha kusema awali mimi natamani niwe sehemu ya hiyo 65000, japo sijui kama nitawahi maana kwa wiki hizi kadhaa nitakuwa mahali ila nafasi ya hiyo naomba uniwekee
asante kwa ushirikiano your doing amazing Bro .
woow Bro upo nondo kwa kweli kila wakati nimekuwa najifunza na sijawahi kuchoka , kusoma chochote unachoandika .
Aise kwa miaka mingi sana nilikuwa nikiamini Tanzania yangu haina watu wazalendo lakini sio tuu wazalendo bali wako tayari kusifia na kukubali jambo la mtu mwengine.
mimi niseme tuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.