Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,470
- 2,864
Mkuu njoo na fact wachana na hizi porojo. Ukubwa wa kabila ni idadi yao na sio wako mikoa mingapi. Tafuta data za sensa toka NBS itatusaidia kujibu hili kwa usahihi zaidi.
wachaga ni kabila kubwa? au ukubwa unauongelea ni kwa vigezo gani? wachaga hawana hata wilaya zaidi ya 3? hata wanyakyusa, wahehe na wangoni siyo wengi hivyo. labda useme makabila yenye ukabila. ukiniambia wasukuma ni wengi haina ubishi, hawa wamejaza mikoa kadhaa. sasa kabila halijajaza hata mkoa moja eti kabila kubwa? labda uzungumzie umaarufu ktk elimu, biashara na ukabila