Recent content by LUPONDE YETY

  1. LUPONDE YETY

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Kinondoni: Hisabati haidanganyi

    Mbona hata mkutano wa chadema nao huoni hao wamevaa sare za chama?
  2. LUPONDE YETY

    JamiiForums Tanzania Tegeta: Wanajeshi wanapiga raia baada ya mwenzao kushambuliwa na wananchi

    Mbona na wao wamemtesa mwanajeshi nchini mwake?
  3. LUPONDE YETY

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Nawezaje kuacha kupiga punyeto jamaniiiii naomba ushauri
  4. LUPONDE YETY

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

    Natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi. Yeye aje Tarime Mji mimi halmashauri yoyote katika mikoa ya Njombe,Ruvuma,Mbeya,Iringa
  5. LUPONDE YETY

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

    NATAFUTA MTU WA KUBADILISHANA NAYE KITUO CHA KAZI. MIE NI AFISA MIFUGO DARAJA LA PILI. NATAFUTA MTU YEYE AJE TARIME MJI MIE HALMASHAURI YOYOTE KATIKA MIKOA YA RUVUMA,NJOMBE,IRINGA na MBEYA. MAWASILIANO 0762940676/0716421449
  6. LUPONDE YETY

    JamiiForums Tanzania KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI

  7. LUPONDE YETY

    JamiiForums Tanzania Baada ya "Vuta Nikuvute" sasa mwili wa Mzee Ndesamburo kuagwa Uwanja wa Majengo badala ya Mashujaa

    Huu ni unafiki Gambo anahusikaje Moshi?
  8. LUPONDE YETY

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Rais kuwaandikia barua Wakuu wa Mikoa kwenye majanga sio sahihi

    Hii sio sahihi umeanza kwa Magufuli? Mbona kikwete alikuwa akifanya hivyo hivyo? Je pale ilikuwa sahihi? MSIGWA akili yake inatakiwa ichunguzwe
  9. LUPONDE YETY

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi

    Afisa Mifugo kutoka Tarime ( Halmashauri ya mji) nataka kubalishana na mtu yeyote aliyopo mikoa ya Njombe,Ruvuma,Mbeya au IRINGA. Kwa mawasiliano 0762940676
  10. LUPONDE YETY

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CCM walivunja kanuni uchaguzi EALA

    Hivi wenje na masha wangepita kwa kupigiwa kura za ndio nyingi wangelalamika kama ambavyo wanalalamika?
  11. LUPONDE YETY

    JamiiForums Tanzania Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    Alamycin spray
  12. LUPONDE YETY

    JamiiForums Tanzania Meya Boniphace Jacob, jiuzulu udiwani na umeya kwa kuliongopea Taifa kuwa ungemfungulia kesi Makonda

    Wapi kataja kuwa Bonifasi ni Mbunge.?
  13. LUPONDE YETY

    JamiiForums Tanzania Wananchi wasikitishwa na yaliyomkuta Mange Kimambi, wataka kumchangia.

    Mnashindwa kuwachangia Yatima na wazee wanaihitaji misaada mnahangaika na huyu fala
Back
Top Bottom