Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,962
Tuanza kwanza kwa idadi ya wanachama.
CHADEMA inawanachama chini ya 300
CUF inawanachama chini ya 20,000
CCM inawanachama zaidi ya 100,000
2015 wanaCCM wengi waliwapa support CUF kwa sababu wanampenda Mtulia.
Kwa hisabati zinaonesha bila shaka Mtulia atashinda.