Recent content by lupodzo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Fikra pevu

    kwa pamoja tutajenga fikra zilizonyooka
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naamini mume wangu nitampata kupitia jf

    Hivi wewe nadhani unakurupuka mno kwani umri kama huo bado kabisa unahitajika kimasomo kwa nini usiendelee kwanza kusoma?
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hanipi unyumba...

    Na mimi ni mmoja wapo wa wathirika katika hilo nawaombeni ushauri jamani kwa kupitia jamii forrum mnisaidie kwani nimempeleka kwa mchungaji ili atatue tatizo hili bado imekuwa kitendawili sasa naomba ushauri
  4. L

    JamiiForums Tanzania IKULU yawashukia Jaji Warioba na Gazeti la Raia Mwema (la Jumatano April 2, 2014)

    jamani mjadala kama huu unatupa ahueni nini kimetokea katika kuiaga tume hiyo ya warioba
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

    ni kweli lazima pawepo na busara hasa kwa yule ambaye hayupo madarakani
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mume ambaye ni mpweke - 42 hadi 50 - awe na watoto ambaye alishawahi oa (mjane au divorced)

    Nipo tayari ila naomba urejee kwenye Email yangu kwa mawasiliano zaidi
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio kingereza bana!

    haya mambo ni sawa hutokea katika shule zetu za sasa kwani wanashindwa hata kuunda sentensi hata moja ya kiingreza
  8. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaumme aliye serious kuwa mume baadae

    tafadhali rejea email yangu kama umeiona
Back
Top Bottom