Mke wangu hanipi unyumba...

Mke wangu hanipi unyumba...

Sipati Picha gemu ya siku hio ilikuaje baada ya Madame kufunguliwa....nadhani watoto walisafirishwa kwa bibi yao.....hicho kitanda lazima kesho kiliitiwa fundi akitibu. Hongera kwa maombi, umeokoa ndoa

CC: MANI zumbemkuu

​@kyanakyomuhaya

Pamoja sana ndugu....
Naamini ni Mungu aliyehusika kuiponya familia ile...!!
 
Na mimi ni mmoja wapo wa wathirika katika hilo nawaombeni ushauri jamani kwa kupitia jamii forrum mnisaidie kwani nimempeleka kwa mchungaji ili atatue tatizo hili bado imekuwa kitendawili sasa naomba ushauri
 
Tafuta kanisa la kiroho lililo karibu nawe usiwe mwepesi kukata tamaa amini ya kwamba Mungu ana weza kufanya Marekebisho..
 
Mwendelezo wa Somo:

Ukiwa na tatizo kama hili. Usiwe mwepesi kukata tamaa.. Cha msingi ni kung'ang'ana mpaka hadi mwisho.

Jenga Imani na kuwa na maombi ya mfululizo kabla na baada ya kufunguliwa ili kuweka ulinzi ndani yako..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom