Recent content by lunyelunye

  1. L

    Kwa Mshahara huu CCM msitafute Mchawi

    walimu wenye div 4 labda wa primary school, hamna mwalimu wa degree mwenye div 4 Tanzania labda kama amesoma SUA, Maana hata huyo anaechaguliwa kusoma Kilimo SUA anakuwa ameshindwa cutoff point UDSM hata za huo ualimu maana hakuna kilaza anachaguliwa UDSM. Acheni mbwembwe
  2. L

    Zitto, Ulimwengu, Shivji na Jaji Mkuu wa Kenya ndani ya Nkrumah Hall - ITV Live

    ZZK Ni kichwa, hata magamba wanajua.(Think tank)
  3. L

    Pengo azungumzia padri kupigwa risasi Zanzibar

    Mchango wako tu unaonyesha mmejaa chuki na ubaguzi wa kidini. Hovyooooooo
  4. L

    Nini msimamo wa wa Tz BARa kuhusu Muungano uliopo?

    Ukiwasikia hawa jamaa wanavojidai cjui wananyonywa na bara kama hujawahi fika unaweza kuamini kwamba zanz kuna kitu cha maana cha kunyonywa na Tanganyika! Hakuna lolote kule, Muungano hata uvunjwe saa hizi utasikia kelele zao na njaa maana hadi nyanya mpaka zitoke Tanga
  5. L

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Unaposema wamekwazwa na serikali iliyopo, unataka kusema watoto primary wanaandikishwa kwa kubagua dini!! acheni visingizio maadili pia ya kuwasimamia watoto wenu wapende shule ni jambo la muhimu, serikali kazi yake ni kuajiri walimu tu, tmizeni wajibu wenu.
  6. L

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Chanzo ni elimu tu, haiwezekani umpe shehe ponda u-gavana wa bank kuu ili tu ionekane eti waislamu na wakristo wapo sawasawa katika nyadhifa
  7. L

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Shida yenu mnapenda sana kutafuniwa mambo, mnatamani kupewa bure kila kitu. Wakati wenzenu wakitoa sadaka na kujiminya kujenga makanisa, shule ,hospital na vyuo pamoja na kuwasomesha viongozi wao wa dini ili wawe na upeo wa kupanga mipango ya kusaidia jamii yao, nyinyi mnapiga majungu yasiyo na...
  8. L

    Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa...

    Ama kweli ukistaajabu ya uamsho utayaona ya mbugila
  9. L

    Kifo cha RPC Mwanza: Maswali ya Bei Mbaya...

    Kumbe taarifa za ki inteligensia zinahusu mikutano ya siasa tu.
  10. L

    AccessBank

    wadau AccessBank wanalipaje ma loan officer?
  11. L

    Pendekezo: Filikunjombe awe Waziri Mkuu mpya!

    Bwana Rejeo,Ingekuwa unayosema ni ya kweli madudu hayo yangeibuliwa na kamati za kisecta zinazo simamia wizara mbalimbali ambazo zote ukiacha hizi 3 zinaongozwa na magamba wenzio, na hao magamba wenzio kwenye zile kamati za wapinzani hawana la kufanya inabidi waende na mawimbi hayohayo
  12. L

    Zitto Kabwe na 'Saini za Wabunge 70' za kumg'oa Pinda - Tafsiri yangu

    Yangu macho, na nimeyakodoa kwelikweli nisipitwe na yatakayojiri. Heshima kwenu
Back
Top Bottom