Dah!! Mbona imekuwa nogwa kwa mama mapema hivi ya kuwazia uchaguzi 2025 tumpe nafasi mama afanye kazi,vvinginevyo ni uroho wa madaraka na mnakatisha tamaa ya kufanya kazi, tumuunge mkono sehemu ya kukosoa tukosoe kwa adabu, akifanya vizuri tumsifie huyu ndio rais wetu
Sent from my Nokia 2 using...
Huyu Rais nampenda Sana, kila siku namuombea maisha mrefu Mungu amulinde, kazi anafanya vizuri Sana na Tanzania inapaa
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Hawa waliotenda hili kama kweli wametenda nawaza tu, siku moja hapo Askari wapate safari kwenda kijiji anachofanyia kazi bahati mbaya labda wapate ajali na wapelekwe kwenye kituo cha afya cha huyu daktari na awe ndio yuko zamu anayetakiwa asimamie matibabu ya dharula kwa hawa ndg zetu Askari...
Dah!!! Haki itendeke na ioneshe kama imetendeka, nimeumia sana, nilisha wahi kupata dhahama ya ajali ya mgogo najua unachosema dokta hapo tayari umepata kilema cha mgogo, Mungu akupiganie upate haki yako
Sorry dogo kwa nitakalo ongea huenda halitakufurahisha lakini linaukweli ndani yake, Kwanza siku hizi kupata mke unayeona anafaa kuwa mke ni bahati Sana hivyo kuachia huyu binti kizembe kizembe unaweza ukajuta huko mbeleni pamoja na kukaa vizuri unakofikiria kiuchumi ambalo ni dhana fikirika...
Ongezea anafanya kazi na walikosa matumaini(wagonjwa)wanaopambania maisha yao wamejaa huzuni (note) huzuni inaambukizwa kweli idara afya walitakiwa waongezewe maslahi.
Dogo sikia mwanamke moyo wake tunahitaji baunza pembeni yake, hivyo ww kkuwa mbali ilikuwa sababu, huyu Bibi usimwache kaa anayee umtengeneze utakuwa mke bomba, mke akiwa vacuum lazima hilo lijamaa lilitumia hiyo chance
Fanya mazoezi mbele ya kioo cha kuvalia (dressing table) mbinu hii ilinisaidia wakati nnikiwa chuo mihadhara Ile watu zaidi ya miamoja nilipiga tizi kama vile naongea na watu, huku nikichagua maneno mazuri yanayoendana na mkutadha husika nilifaniwa sana sana, Fanya hivo kiongozi utanishukru
Hawa jamaa wanafanana na story moja ambayo mtu mmoja aliweka tangazo kwenye TV iliyokuwa inaangaliwa na watu wengi, tangazo hilo lilieleza kuwa ukiweka dollar moja kwenye account yake na ukaweka na email yako atakuelezea siri ya utajiri. Kwa sababu watu waliona dollar moja ni ndogo waliweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.