Pole Sana Kwa yaliyokukuta. Nakushauri nenda Kwa rpc wa mkoa wa Dodoma atakusaidia kwani ni mtu humble Sana na anasikiliza Sana wananchi wenye matatizo na polisi wakware! Hao uliowataja hapo kuwaomba msaada watakuignore TU na kuendelea kulamba mvinyo, hawana msaada wowote zaidi ya kujali matumbo Yao!