Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,120
Ahsante kwa Ushauri Ndugu yangu
Ahsante kwa Ushauri wako Brother, Nitafanya Kazi mawazo yako.Mwana una issue kama ya kwangu,tofauti mie npo chuo mwaka wa 3 na tyr ana mtoto,saivi yupo kwao..analea mtoto ila nachofanya saivi najibana hela ya boom nayopata,nalipa ada mwnyew,kodi..khs mavazi kibabe t siku znasogea..nafanya yte kujibana kwa ajili ya kesho na mtu wangu,bht nzuri ye ni msusi mzuri(saloon ya kike) hvyo napambana hadi arudi akute ofisi ishakamilka ili kuwepo uhakika wa elf 2 kwa siku kupatkana+mimi nkjchanganya mtaani after chuo..bdo mwaka mmoja kumaliza..
#usimuache huyo mwanamke pambana nae,kwan anafahamu hali yako..cha mno tafta mtaji ata kdg achome ata chapati,atengeneze uji..trust me kama ana nia,una nia dhabiti pia mtatoboa..
kwa alieko mwanza ancheki kwa hii namba
0622902768*
nina shda na mlango.
Mkuu fata ushauri huu, narudia tena mtoa mada fata huu ushauri.Kama unakitanda na godoro Apo mchawi Ni ela ya Kodi tu issue ya chakula hua siyo sababu yamtu kuacha kuoa ukizingatia wewe na uyo Dem Amna penzi la mashaka .. haya Maisha ayana formula
Kama una 27 years now unaweza subutu kuoa mahana ukisubiri Maisha yawe poa utajikuta una turn 35 bila kua na stable financial .. ushauri wangu kilakitu nikujarib just try ukishindwa mungu atajua .. uyo Dem akirudi kwao .. kumrudisha Tena siyo raisi ... kwakua Kuna morari itashuka Sana juu yake then mtapotezeana kizembe..
Ungekuw na umbri chini ya 25 ningekuambia mtafutie nauli arudi but iyo over 25 years Kama unataka kua mwanaume halisi jipige kifua usiogope Kama kweli ni mwanamke ulie dhibitisha anasifa zote zakua mke ..wew weka ndani
Tafuta watu wakusapoti kweny Kodi af Anza mwaka ukiwa mwanaume mpya kabsa .. mungu atakuona tu ..
mkuu mbususu za generation zishakuchosha 😂🤣Nipo Igoma mkuu..wew utakaa nae cku mbili afu ntamtumia pikpik iv
Kama kweli unampenda, usimwache arudi kijijini.Shukrani Mkuu, Lakini kabla ya uwepo wake kaka nimesambaza San CV mpaka nazikuta kwenye vifungashio vya vitumbua,
Ingekua kijijini ningetumia Mafunzo ya JKT kuanzisha kilimo Cha mboga mboga
Komaa nae babu, akili itachanganya na fursa za mtonyo kibao utaziona, ukilegeza akirud mkoa unaweza ukapokonywa kiwepesi tu wenye nia nae.Sahihi mkuu, Acha nipambane.. lakini kwa wakati huu nifanye Nini mkuu? Nimtafute nauli au nikomae nae tu?
Vuta mali ndani itakufungua akili hio na ukitaka kununua vitu usinunue godoro kwanza anza na kitamda ili ukilala chaga zikuumize upambanie godoro
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
kweli kabisa mkuu.Hahah!nataka za order kutoka mkoan mkuu...hizi zishaoteana masugumkuu mbususu za generation zishakuchosha 😂🤣
Nipo Igoma mkuu..wew utakaa nae cku mbili afu ntamtumia pikpik iv



HayaaJaribu uoneWakuu Habari za muda huu, niende moja kwa moja kwenye mada.
Hii inanihusu Mimi mwenyewe na hapa Nawaza na kuwazua na sipati jibu sahihi, Nachanganyikiwa.
Mimi Ni kijana mwenye miaka 26, Elimu yangu Ni kidato Cha Sita na pia nilisoma Certificate in Clearing and Forwarding, Naishi Dar kwa Wazazi Ila nakaa chumba Cha nje Cha Peke angu,
Kwa muda Sasa nilikua nikitamani kuwa na familia, Yani mke na mtoto, ukizingatia rafiki zangu karibu wengi Wana maisha Yao na familia zao, niliwahi kuajiriwa lakini kwa Sasa Sina Kazi ya uhakika nadandia tu mishe yeyote itakayokuja mbele yangu.
Sasa Kuna huyu binti, mtoto wa Kanda ya ziwa, mzuri, binti mdogo miaka 20(Asomi) alikua akifanya Kazi za usaidizi za ndani, Muuni nikamuelewa nikaanzisha mahusiano nae, baada ya miezi kadhaa mwajiri wake akayumba Kiuchumi na kumuachisha Kazi.
Binti Hana ndugu mjini, kwao Ni mbali na maisha ya kwao pia wanamuangalia yeye ndio mwokozi wao, Kimsingi binti ananipenda na Mimi pia Nampenda na ndio msichana ninaetamani kuishi nae na kutengeneza familia.
Tatizo linakuja hapa, Mimi Jobless, kula kwa kengele japo sio kila siku kwasababu nikiwa na mishe zangu napenda kujitegemea kuliko kusumbua home, huyu mtoto wa watu nataka kumsaidia, nataka asiwe mbali na Mimi kusudi Mambo yangu yaki tiki niishi nae.
Kwa Sasa nimemuombea hifadhi kwa Dada yangu japo ya siku kadhaa na tayari Nina siku tano tu mbele za kujua hatma yake.
Nawaza nifanye Nini?? Nimtafutie nauli arudi kwao?? Nikae nae kibishi, atakula Nini? Ana mahitaji mtoto wa kike na Mimi Ni hohe have?? Naomba ushauri wakuu.
Natanguliza Shukrani.