Recent content by lunae

  1. lunae

    JamiiForums Tanzania AY akiri kumiliki nyumba Marekani

    Mnh...Kaka kuna namna ya kupinga kupata ukweli ila we hupingi tu bali UNAPAMBANA!! Wanaosema una chuki binafsi wanaweza kuwa na hoja. Maana taarifa ni UPLIFTING hata kama ni uongo, not such a big deal UPAMBANE kiasi hicho hadi kumtukana huyo AY!! Labda AY alifanya deal ya unga akapata hizo...
  2. lunae

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Speaking of rastas....kuna rasta mmoja alikua akiitwa "peter mzungu". Huyu aliishi opposite na MDC spmarket kwenye zile nyumba za national housing. Huyu rasta alikua akitumia baiskeli yenye nakshi nyingi na baby wake vile vile alikuwa rasta! Enzi zile kapo yao ilipendeza sana nadhani wengi...
  3. lunae

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba atambulisha rasmi label yake(Kingmusic) aachia nyimbo mpya "SINA".

    Yaani sauti za hawa bongo fleva ni kama ile ile. Ukisikiliza audio huwezi kujua yupi ni yupi! Tuleteeni sauti tofauti jamani. Hii moja sasa inaboa..
  4. lunae

    JamiiForums Tanzania Tatizo lulu Hana ulimbukeni na "MASTAA" kama wadada wengi wa mjini

    Uchambuzi wako una ukweli. Nachompendea lulu ni uwezo wa kujieleza vzr
  5. lunae

    JamiiForums Tanzania Disco la Police na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam:Tumemsikia Polepole, Siro je?

    Hivi vinaongeza damu..
  6. lunae

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Hivi Dj Andrew 'maskio' yupo wapi sk hizi? handsom boy yule
  7. lunae

    JamiiForums Tanzania Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

    Ni kiki tu. dogo janja anatoa ngoma na uwoya ana muvi inakuja.
  8. lunae

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    LOL..yaani we unamjua yule mzee. Ila ile juice sjui alikua anachanganyaje. Ni formula yake tu
  9. lunae

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    LOL. Si wakapachinjie tu
  10. lunae

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Aha..napajua maeneo hayo
  11. lunae

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Opposite na benki ya mawenzi kulikua na kaduka ka mhindi anauza juice ya kutengenezea nyumbani. Mnamkumbuka? Nadhani jina lake 'bandia'. Alikuwa anavaa KAPTULA tu. Juisi chupa ndogo fupi. Juisi sijui zina spices gani zile za kihindi hindi ila tam sana. Hivi mzee bandia kuna aliemuona sk za...
  12. lunae

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Kambaita hakuwa na mtoto wa kiume. Alikua na mtoto mmoja tu wa kike alieolewa canada. Kama kaondoka atakua kaona keshakua mzee na hana msaidizi wa familia. Na yule nyumbani ni canada si india
  13. lunae

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Yule mhindi alikuwa akiitwa solanki au suresh kama sikosei. Na kile kigari chake cheupe bado kipo moshi. Mara ya mwisho kigari nilikiona kwenye ule mtaa wa pili kabla ya kufika shule ya msingi mwenge ukitokea njia ya soko la juu!
  14. lunae

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Toyota stout mbege toka kibosho...heheheee
  15. lunae

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Uzi niliuwahi kabla nika miss katikati ila umeenda vzr. Mkuu jmushi1 una kumbukumbu nzuri sana na moshi unaijua. Of course na wadau wengine mmetisha kwa memories. Hivi John Jeep siku hizi yupo wapi? Hivi yule si alikiwa shombe wa kigiriki au?
Back
Top Bottom