Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa


3llyEmma

3llyEmma

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2017
Messages
1,422
Likes
1,430
Points
280
3llyEmma

3llyEmma

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2017
1,422 1,430 280
Bwana hakujua kama sio kila wa kike ni wa kuoa"
Hao wadada KANUMBA + DIAMOND ndio wanajua kuwala na kuwamwaga sio kumvisha pete.
Nawasihi vijana mnapoingia majiji makubwa muwe makini msitishwe na make up'.. Wezi tu hao.
 
Billy Walters II

Billy Walters II

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Messages
1,812
Likes
2,904
Points
280
Billy Walters II

Billy Walters II

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2017
1,812 2,904 280
Ilikuwa kiki...

Mashabiki kazi sana na hawa wasanii.
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
6,159
Likes
6,541
Points
280
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
6,159 6,541 280
Watu wa mikoani na ushamba wao na ulimbukeni wao kwa wanawake unaweza kuta huyu dogo akaja jifia kweli,, big up sana kwa wanaume wa Dar, wazee wa kimoja chali, wazee wa vibamia, wazee wa kuchapiwa/kumegewa lakini hata wakiachwa hawatetereki wanaingia mtaani na kung'oa kifaa kingine swafi kabisa...
 
King smoker

King smoker

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Messages
427
Likes
259
Points
80
King smoker

King smoker

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2018
427 259 80
Alipotea sana chalii inabidi atulize kichwa yeye bado mdogo ajipange upya atafute wa kuendana nae, ile ilikua ni aibu sana mama kama lile jamani!! hata ngoma zake nilkua sisikilizi nilijua zitakua za kishoga tu
 
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
13,967
Likes
5,733
Points
280
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
13,967 5,733 280
Kutaka makubwa na yeye aonekane a Anamiliki Mrembo mkali mxieww
 
EMMYGUY

EMMYGUY

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Messages
8,138
Likes
19,518
Points
280
EMMYGUY

EMMYGUY

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2015
8,138 19,518 280
Mapenzi hayana umri, labda wawe na sababu zingine zilizowafanya waachane.
 
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
773
Likes
670
Points
180
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
773 670 180
Lakini si juzi tuu janjaro na uwoya walikuwepo wote hotelini?? labda ni kiki
 
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Messages
1,772
Likes
1,167
Points
280
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2013
1,772 1,167 280
Ila kafaidimo humu ndani wengi mnatamani mngepata kuonja radha ya uwoya na mmekosa kwahiyo mnaishia kurusha maneno mengi kwa dogo hata mm natamani lile tako angenipa hata usiku mmoja tuuu
sidhani, labda tu utamani kuungwa kwenye 'gridi' ya kilovolti 220
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,454
Likes
4,690
Points
280
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,454 4,690 280
binamu "mimi na wewe hatuna shida " kaa chini kunywa maji yashuke kabisaaa " huku uki relux ...ule ulikuwa ni upepo mbaya tu " umepita " siwajua watumishu " tuna stress za kutoongezewa mishahara " ... basi ndio nikajikuta nazimalizia kwako " maana ningesema nizipeleke kwa Jiwe " korokoroni pangenihusu
Usijali binamu.
Kuliko nisikie uko korokoni,Bora tu umalizie hasira kwangu.
Mana vinginevyo na mi ntajikuta wameshanisoudy brown
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,454
Likes
4,690
Points
280
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,454 4,690 280
Kitabu cha The God Delusion kimetoka nipo Marekani.

Mimi nilishazibuka tangu niko Tanzania, nimesoma "The Philosophy of Religion: An Anthology", kabla ya "The Selfish Gene".

Kwa taarifa tu
I LOOOOOVE IT WHEN YOU BRAGGING!!!
hahhahahhaha ni nyundo ya uso paaaaaaah!!
Huwa nachekaaaaa
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
43,030
Likes
17,918
Points
280
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
43,030 17,918 280
I LOOOOOVE IT WHEN YOU BRAGGING!!!
hahhahahhaha ni nyundo ya uso paaaaaaah!!
Huwa nachekaaaaa
Hawa watu wengine wanafikiri mimi ni "Johnny come lately" kwenye mambo haya.

Kumbe watu tumesumbuka na classical arguments since 1994!
 

Forum statistics

Threads 1,235,541
Members 474,641
Posts 29,226,090