Recent content by luna 1

  1. L

    URAIS 2015: Pinda Vs Lowassa

    Najaribu kukumbusha moja ya Maamuzi Magumu,Suala la Kudondoka kwa Jengo kule Temeke,Mh Lowasa hakusubiri tume Iundwe aliwaajibisha Woote walio husika on the spot tena wakiwa hawapo eneo la tukio na alifika eneo la Tukio dakika chache baada ya kutokea. Suala la Uanzishwaji wa chuo cha...
  2. L

    Lowassa alazwa Ujerumani, afanyiwa upasuaji mkubwa

    lowassa akiwa germany..
  3. L

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Hapa haiitaji kuwa na degree ya sheria kung'amua haya mambo,Kwa nini nguvu kubwa serikali inatumika kuwalinda hawa watu,au kwa kuwa wameiba kiasi kikubwa cha pesa,makatibu wakuu wafuatao waliajibishwa Jailo na yule mama wa afya bila kuwa na kigugumizi,mawaziri wengi akiwemo waziri mkuu...
  4. L

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Kwa majibu haya na ya namna hii hii ngoma bado ipo upande wa zito kushinda,Muhongo ye kaja kumchafua mkono na kampuni yake,hajajibu hoja,Lakini kwa nini bunge linaendeshwa hivi?na Ndugai yupo wapi?nakubaliana na msemo huu "majibu mepesi na rahisi kwenye maswali na hoja ngumu"
  5. L

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Mwanzo zilikuwa story tu,sasa hoja ndio zinajibiwa sasa kwa majibu haya yanayoendelea kutolewa naona kwanza kuna tofauti za kiripoti kati ya CAG,PAC,PCCB na haya majibu,hapo pawezekana kujibika kwa hoja hizi zilizopangwa,lakini majibu yanabase zaidi kwa Nimrodi Mkono and his advocate...
  6. L

    Ripoti ya PAC kuhusu Escrow Kusomwa Jioni Bungeni

    Huwa namuamimi zito kwenye kazi kama hii zenye kuhitaji umakini wa hali ya Juu,ila naona ili haya maoni yaweze kutekelezeka yanahusu zaidi Ikulu kutoa maamuzi,tukumbuke taarifa hii imehusisha taasisi zote za serikali,wezi ni wao na kamati ni wao tuone maamuzi ya Ikulu mana ndio yenye mamlaka ya...
  7. L

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    sikushangaa ushindi wa jana wa man u zidi ya asernal ila nilipata hamasa kubwa ya kushangilia kutokana na aina ya ushindi wenyewe na kikosi cha man the way kilivyokuwa dhaifu zaidi ya mara 100 zidi ya asernal. Nilishawahi kusema kwenye Epl asernal ni kama mke mkubwa huwa hasumbui anapoletewa...
  8. L

    Wallah ukiwa na baba kama huyu ni hasara tupu

    aaah aaah aaaaah ache nikalale aiseee
  9. L

    Nina Shaka na mwaka 2015, tuweke akiba

    mkuu mi zamani nimeashaanza hizi mambo za jeti lee na van damme,bado za bolt mapema mwakani,ikifika tu steji ya mabaka kuingia uraiani nitakuwa fresh,ngoma dar-lindi-mtwara-msumbiji-nyumbani S.A
  10. L

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    1 De Gea (yupo vizuri sana now),2 rafael (da huyu huna sinaga tatizo naye kabisa van gaal alitaka kufanya kosa kwa kumuuza),3 Luke show,anaifahamu vizuri man city so kule tumeziba,4 Phil Jones huyo aguero wenu nadhani mtamsikia tu,5 Rojo Eden zeko atakuwa beki kwetu,6 Fundi kipofu aka Blind,aina...
  11. L

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwenye game ya chelsea nolitegemea man kupata matokeo yale tena ilikuwa tupate ushindi,Van Gaal huwa mzuri kwenye game za aina ile au hii ya Man city.
  12. L

    Nauza samsung galaxy s3 na s2 mpya

    weka basi na number za simu au jinsi ya kukupata,wengine huku tunapoishi pana watu wengi wanahitaji hiyo kitu
  13. L

    Nauza Samsung Galaxy Note 3, nataka ninunue simu nyingine

    naweza kuipata kama mtu anauza akiwa na shida but mi nilishangaa kwa bei uliyoweka na aina ya simu na pia hata specification zake umecopy za note 3 original mana hyo haina spec hizo that y,so ungeongezea kwamba ni clone mana note 3 original si chini ya 700 tena hapo mkononi
  14. L

    Nauza Samsung Galaxy Note 3, nataka ninunue simu nyingine

    angetuambia kabisa kama ni clone aisee,ongezea nauza galaxy not 3 clone,kioo kimepasuka afu weka bei,mi nilijuwa original
  15. L

    Mwana FA, Umepiga hatua 4 mbele umerudi 8 nyuma, Disapointing

    Morning guys,mimi ni shabiki haswaa wa Mwana FA kama ulianza kupenda bongo fleva juzi ndio utamdisi mwana FA,hamna mwandishi wa nyimbo anayeumiza kichwa kama huyu jamaa that y we calld him Mwanafalsafa,Mfalme ndio ngoma inayodhihirisha hili baada ya kuandikwa nyongi huko nyuma,nakubaliana na...
Back
Top Bottom