Recent content by lumimwandelile

 1. L

  Wasomi na kiingereza

  Aliekwambia kupata degree kunauhusiano na kuongea kiingereza nani. Yani wewe unaonekana fala Kweli kisa umeombwa umsaidie mtu kuandika cv unakuja kumtangaza humu. Kwendaa kafie mbele
 2. L

  Kwa utapeli huu : NBC Bank hamfai

  Ungeenda nmb Achana kabisa na matapeli hao
 3. L

  Hivi kumbe kuna watu ni wachoyo mpaka kwenye chakula. Haya maisha ni hatari

  Naona kama unaupungufu kichwani. Hapo fanya uondoke Akufukuzae hakwambii toka Halafu hapo unakaa miezi yote hiyo unakula bure hv ujiongezi..? Dume zima kukaa bure hadi kulishwa ulishwe angalia usije kuolewa
 4. L

  Hongera CCM Treni ya Moshi - Arusha yawa mkombozi kipindi hiki cha sikukuu hakuna mchaga atabaki DSM!

  Kupata hiyo ticket ni mtihani. Hamu yote ya tren inakuisha. Naomba wanaohusika wafanye kama kukata ticket ya ndege. Siku unayoamua unakata sio mtandao wao sijui wazee ndio wanaou operate . Yani ni kero
 5. L

  Kilichotukuta kwenye kivuko!

  Wanasema kutojua sheria hakukupi uhalali wa kuvunja sheria/kutenda kosa
 6. L

  Mwanamke mjamzito anaruhusiwa kunyonyesha mtoto?

  inaruhusiwa kabisa kuendelea kunyonyesha mi niliambiwa hivyo hospitali nikaendelea kunyonyesha nikiwa na mimba bila shida.
 7. L

  Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

  hv wale wabunge wa ACT kutoka zanzibar walienda kuapishwa au wamesusa wakati maalim seif kaenda kula maisha. akili ya kuambiwa changanya na yako
 8. L

  Msaada: Wanaotoa magari bandarini kwa kukopesha malipo ya kodi

  Tembelea showroom zilizopo hapa hapa bongo utapata gari kulingana na hela uliyonayo
 9. L

  Naomba msaada wa kimawazo wa kumsaidia mdogo wangu

  aki apply atapata. lakini nashauri asisome BED aangalie kozi nyingine itakayomfaa. vyuo vya kuapply ni TIA CBE UDSM Mzumbe, Uhasibu - Arusha hivi vyuo ada zao sio kubwa mfano wa kozi ni:- procurement Human resource accounts Law
 10. L

  Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

  duh. hapa mtihani kwa wazazi. mwenye shule ungejitahidi kufata sheria ikiwemo kuomba kupunguziwa kodi.
 11. L

  TAMISEMI imeajiri mtu aliyepata divisheni ZERO kwenda kufundisha watoto wetu

  kwa hiyo wewe roho imekuuma sana huyo kupata ajira ee. kweli mchawi sio lazima aroge usiku
Top Bottom