Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,381
- 857,558
- Thread starter
- #212,001
Lazima kuna namna maisha yenu ya sasa yanafanana
Ajabu sasa wala hayafanani. Mmoja ni kigogo yuko huko BOT ana pesa kama mvua. Mwingine yuko huko serikalini naye yuko vizuri sana.Lazima kuna namna maisha yenu ya sasa yanafanana
Shimba kumbe una urafiki na vigogo na hatuambiani [emoji16][emoji16] nifanyie connection basiAjabu sasa wala hayafanani. Mmoja ni kigogo yuko huko BOT ana pesa kama mvua. Mwingine yuko huko serikalini naye yuko vizuri sana.
Ninachowapendea hawa jamaa ni kwamba hawana majivuno na bado wako grounded. Hicho tu pengine ndicho kinachotuunga pamoja.
Nitakuja kukusalimia [emoji1545]
Mwenyewe hawanifanyii connection imagine 😁😁😁Shimba kumbe una urafiki na vigogo na hatuambiani [emoji16][emoji16] nifanyie connection basi
[emoji16][emoji16] kwa sababu huhitaji koneksheni
Hapana maana yake size ndogo
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]