Hata mie nasapoti nazan serikali ya Majimbo ndio mwarobain ulibaki,
Ila serikali ya Majimbo bila kuwa na katiba Madhubutu .. ni kupoteza Mda
Wanachi majimbon wanapaswa kuwa na nguvu kwenye katiba,ikiwemo uwezo wa kuwa wajibisha viongoz wao wa majimbo
Mfumo wa sasa unamapungufu mengi mno...
Mwaka 2019, kuna Rafiki yangu.. mmoja alikuwa Dodoma Anafanya biashara ya kuuza Nazi . Saba saba .
Bwana jamaa akanipanga. Nazi Dodoma itoka hatar..yaan ukishusha mzigo asbh Saa nne tu ume maliza mzigo..
Ha ha ha wee si nikatupia laki 9 yangu bwana. Ha ha ha mpaka leo mie huwez niambia...
Swala La kesho yetu Sie wanaume.. ni muhimu mtu kulipa Kipaumbele.. Sana tu..
Kuzaa, kulean na kusomesha watoto au mtoto sio mkataba wa kwamba nao lazima wakujali huko mbeleni, pengine kwa sababu nao wanakuwa wanjitafuta au kwa sababu zinginebtu ndio maana swala la kuangalia mbele yako ni...
Misumi wasubir kwanza serikali inunue ma V8 kwanza, Chenchi ikibak wata wekewa Daraja moja..
Mkumbuke viongoz wanafanya kaz katika mazingira magumu sana.. mkumbuke hilo.. jaman.
Django: You better listen to your Boss white boy
White: I want a nigger who can go to the moon like u
Django: You wanna Hold my Hand!??
White boy: Ha ha ha ha ha
Django unchained!
Kwenye Andiko lako umesema "walisema hiyo Route ni ya majaribio na kama faida ikiwepo itakuwa regular route"
May take : Route haikuwa na Faida waka acha nayo..
Mbona simple tu....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.