Recent content by lumaraG

  1. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Athari za mvua jijini Dar es Salaam

    Kuhusu Usafi Mkuu wa Mkoa - Dar Alitoa Maagizo nakuhaidi kumchukulia hatua yeyote yule atakae kwenda Kinyume !! Ngoja tuone na Hili la SLUMS/Ujenzi holela usababishao Haya Mafuliko Atasema/Atachukua hatua gani !! Poleni Wote mliopatwa na Matatizo ya Mafuriko !!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wapinzani waipinga hotuba ya kikwete

    Suala lililopo ni la Maridhiano tu,Kufumua Rasimu inawezekana kwani Vitu vyote viletwavyo Bungeni si ni Mali ya Bunge !! Kwa hiyo Wabunge Wafanye Watakavyoonainafaa !!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Well said Mkuu !!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Timu ya Yanga yapata ajali Mikese

    Poleni sana !!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Official: Malaysian investigators conclude missing airliner hijacked!

    Katavi kwa Maelezo ya Mtaalamu wa Kimalekani aliekataa kutaja Jina hapo juu ni kuwa ; Kunauwezekano kuwa Imezama majini ,Imeanguka ardhini au ilitua Sehemu na kuzimwa Injini ! Goja tusubiri - the time will tell !!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Official: Malaysian investigators conclude missing airliner hijacked!

    So sad !! But time will tell !!
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kupotea Kwa Ndege ya Malaysia: Jee ni Uthibitisho Psychic Powers ni Uongo?!-Nachanganyikiwa Kabisa!.

    Labda imetekwa angani na Viumbe wa Ajabu Walukao angani Kama ALIENS !! Napita tu wanajanvi !!
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Application form to marry my daughter- kuna ndoa hapa?

    Mhhh!! I'm just passing !!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Dunia: Mtoto wa Miaka 2 Ajifungua nchini China

    Well said Mkuu !! Mambo ya Meiosis !!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Made in china

    Jamii Forum Mambo Yote !!
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ni wengi lakini...

    Kuna kaukweli Mkuu !!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

    Inasikitisha sana !!
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumejaribu kufanya mapenzi/sex bila mafanikio

    Nenda kamwone Daktari wa Kinamama (Gynaecologist) atakusaidia !!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asema kuwa Mbowe hana shahada ya chuo kikuu

    Du !! Mi napita tu !!
Back
Top Bottom