Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Muundo upi wa Muungano unafaa?

  • Serikali 1

    Votes: 81 23.3%
  • Serikali 2

    Votes: 22 6.3%
  • Serikali 3

    Votes: 241 69.5%
  • Sijui

    Votes: 3 0.9%

  • Total voters
    347
  • Poll closed .
Serikali 3 ni muhimu kuliko mke wangu.
Mambo ya Rais wa Zanzibar na Tanganyika yasikupe tabu kiongozi kinachomata hapa ni serikali 3 zipite arafu tuje tutengeneze katiba ya Tanganyika sasa hao marais tutakuwa na mjadala tuiweke vipi.
Mbona kuna Rais wa serikali ya vyuo nchini anamajeshi? Rais wa chama cha walimu anamajeshi?
 
Hili swali linahusu rasimu ya pili ya Katiba Mpya? Kama ni hivyo basi hakuna suala la serikali moja wala mbili, suala lililoko mbele yetu ni Serikali tatu
 
Serikali 3. Mahitaji ya serikali 3 yalikuwepo siku nyingi sana lkn wenye nchi
walikuwa wanayapuuza.
 
Nimepigia kura serikali moja tu kama Wazanzibar wako serious na muungano waache kudai mamlaka kamili.
 
serkal 2 ili kuepusha kuvunja muungano siku za usoni

Wazanzibari walishauvunjua kitambo eti! kilichobaki ni kiini macho; CCM hawataki kutamka kuwa sababu zao za kukomalia serikali 2 ni kutaka kuendelea kuidhibiti (read control) Zanzibar kutokana na madhara yanayoweza kutokana na Zanzibar kulazimika kujiunga na jumuia kama za OIC kupunguza makali ya ukata; Zanzibar ni kiisiwa masikini sana eti! na uwezekano wa mitandao ya kigaidi kama Alqaeda, Al-shabab, Boko haram na Moslem brotherhood kuingia Zanzibar.
 
Serikali 1, serikali mbili ni usanii na maigizo ya kuungana ndio maana kero haziishi.
 
Mimo chaguo langu na wanaotutakia nemá ndani ta taifa letu tuchague mfumo wa serikali mbili kwani changamoto zake zinazungumzika. Tusikubali kudanganywa na watu wanaopewa fedha na wazungu kwani lengo Kao ní kuturudisha kwenye. Ukoloni. Tuwakatae kama. Raid mugabe alivyo simama.
 
First tym Pm alisema zanzibar ni mkoa, leo nimemskia Mr prezD anasema zenji nchi!! Tumerogwa au? 3 ndo mpango naic!!
 
hakuna muafaka kwenye hili tusidanganyane. suluhisho ni wananchi wa pande 2 kupiga kura. Kwanza muungano wanautaka?

Mkuu muungano una faida hasa kwa wazanzibari maana wao Tanganyika ni kama kwao tu lakini watanganyika Zanzibar si kwao. Ndiyo maanq inabidi uwe na kitambulisho cha ukaazi. Kitakwimu za Mzee Warioba wanaotaka muungano usiwepo ni wachache na ndiyo maana walipendeke serikali 3. Serikali 3 imependekezwa na wananchi.
 
Kwa Walioba kama kashikilia muundo wa serikali 3 ila kiukweli kama jambo ni la muungano basi moja inatufaa. kama mbili tutarud kulekule itabidi tanganyika watafute katiba yao kwan zamani ilikuwa ni ujambazi
 
Back
Top Bottom