POLEPOLE AHACHUKII UFISADI BALI LOWASSA.
(Onyo kwa wavivu wa kusoma ni ndefu kidogo, huu ni msimamo wangu si shinikizo la mtu awaye yote. Makala haya yalitokea katika gazeti la Mawio la Jana).
Katika Biblia Takatifu kuna sehemu imeandika maneno haya, Imani ni kuwa na hakika ya mambo...
Wakuu,
Kwanza naomba msamaha kwa kuweka uzi huu katika jukwaa lisilohusika. Samahani sana.
Pili naomba kusaidiwa maeneo inapopatikana shule ya sekondari ya Mt. Crispin (St, Crispin's Secondary School) kwa hapa Dar es Salaam.
Kwa anaeijua naomba aniambie hapa au ani text kwa 0788936187 (SMS tu)...
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, alikuwa ni mlezi wa Taifa la Tanzania. Alikuwa ni mtu pekee anayeweza kukataa jambo hata katika kadamnansi na hatimaye umati wote kufuata maoni na matakwa yake. Matokeo ya hayo ni kauli yake ya mwaka 1995 aliyoisema Dodoma, Watanzania wanataka mabadiliko...
Umepungukiwa na kitu kimoja tu!
Kujua kuwa CDM wanasimamia sheria. Kisheria Kamanda wa Polisi wa Mkoa hana mamlaka ya kuzuia maandamano. Ukilitambua hilo hata wewe unapooinewa unaweza ukapaza sauti yako kupinga bila kujali nafasi unayo hold kitaifa.
Nawe ukumbuke pia Tume ilifanya kazi yake kwa miezi 20 lakini Bunge halijapata hata miezi sita. kwa hiyo tume ilifanya kazi yake ikiwa imetulia zaidi ukilinganisha na bunge linalofanya kwa papara.
Tangu lini ukaona CCM wamejadili katiba mpya?
Katiba mpya inatoka kwenye rasimu ya Warioba na CCM hawajawahi kujadili rasimu ya Warioba hata siku moja na hawataijadili maana ni sawa na ng'ombe kujipeleka machinjioni mwenyewe akiomba msaada wa kuatishwa maisha yake
Wakuu,
Wanafunzi wanaosoma vyuo vya elimu ya juu nchini (University & University Colleges) wameanza mafunzo yao ya vitendo (Teaching Practice & Practical Training) tangu jumatatu ya tarehe 14/7/14 lakini hawajapata posho zao ambazo kimsingi ndio huwasaidia kwa chakula na malazi wawapo katika...
No, usithubutu. Kaa chini utafakari upya na uanze maisha mapya. Kwa wazazi hizo ni hasira tu lakini mwisho watatulia na kukusamehe. Kama utapata ndugu kapumzike wakati ukitafuta hata mtaji wa karanga.
Picha zitawakumbusha watawala kusimamia haki, tumechoka kusikia mauaji kila siku na hatua hazichukuliwi! Anzia kwa Ulimboka, Mwangosi, Kibanda, Mvungi n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.