Mazoko
JF-Expert Member
- Jul 10, 2009
- 674
- 187
Kunamambo mawili moja wakati unaandika ulikuwa unakunywa viloba au ulikuwa umelewa hata hujuwi nikitugani unataka kuuliza.
1. Ilipelekwa bungeni kwa mujibu washeria
2. Mahakama ya kadhi sijambo la kikatiba maana katiba haizungumzii kundi moja katika jamii
3. Kudumisha muungano nilazima nchi washiriki tufanye mambo yanayofanana kuiruhusu Zanzibar kuwa na serikali kamili tayari muungano unanyufa kuziba nyufa nikuweka serikali 3 haiepukiki
4. Hitimisho lako halina maana. Kisheria bunge lililopo kwa ujumla wake halikuwa na maana kwakuwa waliopo walichaguliwa kutetea na kulinda katiba iliyopo ( hicho nikiapo chao)