Wana nakamilisha ukusanyaji wa data kutoka kwa wadau wangu muhimu waliopo pande za dodoma kwenye mipango ya afya ambao kiukweli wanasikitikitika kuendelea kulipwa posho kwa kazi ambayo haijulikani itaisha lini asubuhi nitawadondeshea A to Z ya sakata hili baada ya kupata clean data
Hi wanabodi!!!
Nimepenyezewa ujumbe wa karibu kutoka singida kuwa Katibu Tawala wa Mkoa huo ametoa kusudio la kuwatimua kazi watumishi zaidi ya 20 kwa tuhuma za kufoji vyeti vya kidato cha nne.
Mtoa habari anasema Mama yake ambae ni mtumishi wa zaidi ya miaka 30 katika utumishi wa umma ambaye...
Mh Rais Umefanikiwa kukamilisha mradi wa Hosteli UDSM sasa weka msukumo kwa mbinu zilezile za kubana matumizi kukamilisha miradi ya ujenzi wa hospitali za rufaa za Mikoa....
Mh Rais Magufuli maamuzi yako magumu na ya busara yanahitajika kusaidia ukamilishaji wa Miradi ya Ujenzi wa Hospitali za...
Mh Rais Umefanikiwa kukamilisha mradi wa Hosteli UDSM sasa weka msukumo kwa mbinu zilezile za kubana matumizi kukamilisha miradi ya ujenzi wa hospitali za rufaa za Mikoa....
Mh Rais Magufuli maamuzi yako magumu na ya busara yanahitajika kusaidia ukamilishaji wa Miradi ya Ujenzi wa Hospitali za...
Mh Rais Magufuli maamuzi yako magumu na ya busara yanahitajika kusaidia ukamilishaji wa Miradi ya Ujenzi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa ya Mara, Shinyanga, Singida na Manyara. Ujenzi wa Hospitali hizo mpya umeanza takribani miaka 9 iliyopita isipokuwa ya mkoa wa mara inazaidi ya Miaka 20. Ujenzi...
Kuetekeleza Agizo la Mh Waziri Mkuu kwa vitendo kama mwananchi wa kawaida namuomba Waziri na Katibu Mkuu mwenye mamlaka azifutilie mbali posho za Nyumba, Umeme, Simu na Maji kwa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na...
Ndugu wanabodi tujikumbushe lile tamko/ratiba ya Serikali ya kuhamia Dodoma iliyotolewa na PM Majaliwa kuwa ifikapo Mwezi Februari 2017 Mawaziri na Makatibu wakuu wote wa Wizara watakuwa wamekwisha hamia Dodoma.
Sasa ni mwezi Januari 2017 je hiyo safari bado itakuwepo au lilikuwa tamko tu...
Mwaka 2017 nataka nijikite katika biashara ya Vinywaji ndugu wanabodi naomba kupatiwa msaada wa ramani za kujenga simple Pub katika mji wa Dodoma na jinsi ya uendeshaji wa bar/pub ilikuakabiliana na hali ya maisha. kama una picha za sample ya pub tafadhali iweke hapa tu kila mwana JF afaidi
Msimu wa sikukuu za Chistmass na mwaka mpya umekuwa mbaya kwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Singida baada ya kuwekwa ndani na kushikiliwa na Jeshi la Police baada ya wananchi wa halmashauri hiyo kuugua ugonjwa wa kipundupindu.
Akitoa taarifa ya hali ya kipundupindu kwa Mh. Mkuu wa Mkoa; Mganga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.