Wana nakamilisha ukusanyaji wa data kutoka kwa wadau wangu muhimu waliopo pande za dodoma kwenye mipango ya afya ambao kiukweli wanasikitikitika kuendelea kulipwa posho kwa kazi ambayo haijulikani itaisha lini asubuhi nitawadondeshea A to Z ya sakata hili baada ya kupata clean data