Mwaka 2017 nataka nijikite katika biashara ya Vinywaji ndugu wanabodi naomba kupatiwa msaada wa ramani za kujenga simple Pub katika mji wa Dodoma na jinsi ya uendeshaji wa bar/pub ilikuakabiliana na hali ya maisha. kama una picha za sample ya pub tafadhali iweke hapa tu kila mwana JF afaidi