Hiyo fidia unayoitaka kutoka mkeo ni pesa au nini?..Lakina tayari huyo mtoto ana ndugu yake hapo(huyo wa kike).
Peleka lalamiko mahakamani then utapewa mwanasheria baada ya hapo utapewa kibari cha kupima wewe na mwanao.
5.Vigodoro kila kukicha
Kwasasa maeneno mengi ukienda katka sherehe/muziki ukiona namna dada/mama zetu/shangazi zetu hata mabibi wakati mwingine namna wanavocheza mbele za watoto na wajuu, kiukweli naiona Tz mbovu huko mbeleni.
Kuna mzee anauza shamba la mitiki lenye ukubwa wa hekali 7. Mitiki imekuwa imefikia ukubwa kama nguzo ya umeme kwa unene. Mzee anahitaji mil 22 tu, umri umemtupa mkono anaona ni bora ale alichopanda mapema.
Eneo ni Ifakara mkoa wa Morogoro (Shamba lipo Makero-Machipi).
"Mimi ni kinyume na mtoa mada yani mimi mtu niliyenae(mke wangu)mama wa watoto wa2 yaani kila jambo nalopanga haliendi na likienda ujue ni jasho na damu"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.