Shamba la mitiki linauzwa

Lukumbisi

Senior Member
Jan 28, 2022
110
188
Kuna mzee anauza shamba la mitiki lenye ukubwa wa hekali 7. Mitiki imekuwa imefikia ukubwa kama nguzo ya umeme kwa unene. Mzee anahitaji mil 22 tu, umri umemtupa mkono anaona ni bora ale alichopanda mapema.

Eneo ni Ifakara mkoa wa Morogoro (Shamba lipo Makero-Machipi).
 
Mwambie mzee aache pupa hizo mali ni nyingi sana 7 acres sio chache hizo awape watoto wa faidi matunda ya Baba. Kuliko kuuza kwa hasara kiasi hicho.
 
Kuna mzee anauza shamba la mitiki lenye ukubwa wa hekali 7. Mitiki imekuwa imefikia ukubwa kama nguzo ya umeme kwa unene. Mzee anahitaji mil 22 tu, umri umemtupa mkono anaona ni bora ale alichopanda mapema.

Eneo ni Ifakara mkoa wa Morogoro (Shamba lipo Makero-Machipi).
Naomba namba ya mawasiliano. Mimi 0656566381
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom