Recent content by lukme

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tume ya Pinda: Yatoa taarifa yake ya wanafunzi kufeli mtihani wa kidato cha nne

    serikali ya jk yote ni mchwa na ni ma FIRAUNI kweli kweli. nampongeza sana Mb Mbatia kwa kutoisaliti kauli yake na kutowasaliti wa TZ. Hawa wanaojiita ma Poroo Pesa wako kwa ajili ya pesa elimu yao haijawakaomboa
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mchumba wangu na demu wake wa zamani

    penda palipo na pendo pasipo na pendo achana nako si pendo
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Star Times mnakua wahuni kiasi hiki?

    wahuni washauza nchi. tuamke plz tufanye mabadiliko
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wote waliokopa heslb inawahusu!

    waliopata ajira c zaid ya 10%. je watapata wp hela za kulipa? VASCO na serikali yake iache kwanza matumizi mabaya ndo waje kutudai hela za HESLB. WA ARE TIRED WITH THIS ROGUE GOV'T
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mmliki wa Princes Muro chukua hatua kwenye mabasi yako

    Muro hovyo kabisa. wk iliopita bibie alitoka nayo A Town kafika Dar sa 4 usiku
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwa washauri nasaha tu! Mimi nimechoshwa kuitwa mtanzania

    ccm ni janga la taifa
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwalimu tubadilishane vituo vya kazi

    anaetaka kuja Tukuyu mi niende Dar plz
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mama Rwakatare anahaha kumuokoa Mch. Jean aliyekamatwa kwa Ubakaji!!!

    kwa kweli hizi ni cku za mwisho. manabii wa uongo hao
  9. L

    JamiiForums Tanzania YESU amenipa kazi UN

    wamtumainio Bwana ni km mlima Sayuni.....Nami namwomba sana anipe kazi
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tapeli wa nafasi za kazi mtandaoni huyu hapa!

    kuna mwingine anaitwa PHILIP P ISSABU. Huyu naye atafutwe ni tapeli amewaingiza wengi mkenge kwa kujidai anawataftia kazi.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Walimu wapongezana matokeo kidato cha nne............!!

    e bana wa kulaumiwa ni SIRIKALI c mwalimu. uozo mtupu hatuna viongozi tuna VIVULI tu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Msaada; Jinsi ya kutambua jina la mtu anayeniadikia meseji za matusi

    nafkiri jina lenyewe 'kisinzi' ndo maana wanataka kukufataki. badili hilo jina
  13. L

    JamiiForums Tanzania JK hatutaki kauli tunataka utekelezaji

    kuwa na rais mpiga kimya kama huyu ni MSIBA KWA TAIFA. Eee mola tuondolee hii KERO
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kibanda aliteswa na majasusi!

    kwan Rz1 alichafuaje hali ya hewa? nijuzeni tafadhali hiyo ilinipita. Pole kwa mhanga
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu wapya wa kike wapo hatarini kubakwa!

    hujui unachokiseama
Back
Top Bottom