Wivu, wivu, Ukimchunguza bata alacho hutamla.acha tabia ya kuchunguza simu za mwenzako.hamjaoana umeanza kutapatapa.ulipoingilia penzi la hao wawili ulijuaje kama wamemalizana? subiri jamaa akate kiu
Hello wana Jr, nisaidieni kwa hili, naumia sana bado mchumba wangu ana mawasiliano na mwanamke wake wa wazamani,
nilimpigia sim yule dada na kumhoji kijifanya sio mimi mlengwa ila mlengwa analalamika, dada yule akasema kwani yeye hana hiana aoe yeye atakuwa wa pembeni. kwanza mie matumizi napata ninashida gani? na kweli nilikamata msg za mpesa.
na bado anaendelea kuwasiliana, huyu mchumba anasema ati atamuacha taratibu, kweli hapo nifanyeje?