Vingunge wenyewe wa ccm wametulia wanaangalia mwelekeo wa upepo. Nepi yeye anajifanya ndio msemaji wa ccm, na atatumia njia gani kumpinga kama wenye ccm yao watampitisha? Yeye ajiandae kula malimao mpaka achoke.
Vingunge wenyewe wa ccm wametulia tu wananaangalia mwelekeo wa upepo. Nepi yeye anajifanya ndo msemaji wa ccm. Atatumia njia gani kumpinga kama atapitishwa na wenye ccm yao? yeye ajiandae kula malimao tu.
Wavivu wa kufikiria na wenye uwezo wa mdogo wa kufikiria wanaamini eti kwa kuwa Makongoro Nyerere ni mtoto wa hayati Julius Nyerere na kwa kuwa Nyerere anaheshimika sana nchini basi hicho ni kigezo tosha cha yeye kuwa rais wa JMT
Hakuna lolote, mwanamke wa kuoa lazima awe mzuri. tatizo wanaume wasiojiamini wanaogopa wanawake wazuri kwa kuwa wanawavutia wanaume kwa kiasi kikubwa sasa kama mwanamke kama hana msimamo ni mtihani kwelikweli.
Mkuu tatizo watanzania ni kama misukule hatujitambui kabisa. Ndio maana wanasiasa wanaongea na kufanya wanavyotaka. Kinana ni ccm sasa hayo mawazo yake badala ya kupeleka kwa viongozi serikalini anakuja kuwaambia wananchi nao wanashangilia kabisa. Yaani kama vile ccm inayotawala serikali ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.