Kiseryi Chambiri: Mtazame Lowassa vizuri

Kiseryi Chambiri: Mtazame Lowassa vizuri

Sielewi kazi ya Takukuru kama hawaja kamata Lowasa,
 
Huyu mbunge inaelekea mtaalamu wa masuala ya ubunge

Chambiri kawa mbunge wa TARIME kwa miaka 15 (1990-2005) ila kwa muda wote alikuwa akishinda kwa kuiba kura,hadi 2005 ambapo wanatarime walimkataa na kumchagua marehemu WANGWE wa CHADEMA,huo ndo ukawa mwisho wa CHAMBIRI tarime,kwa ujumla ilifikia muda jamaa akawa anawatukana wakurya eti atatawala akichoka awaachie watoto wake,jambo hilo liliwakera wakurya ndipo wakamtosa 2005,kwa ujumla jamaa hafai.
 
Acha uongo wa kudanganya wajinga.
Siasa za uongo ndio zinazotufanya tumkubali Lowasa na kuwapuuza washenzi na wanye chuki kama wale waliomuua Gadaf kwa kumuita fisadi leo hii Libya imechafuka na inatumbukia kwenye umaskini.
Musiendekeze siasa za chuki na kusingizia watu mauaji mtaipeleka nchi kubaya kwa chuki tu za kidini na kikanda.

Kama ungekua na akili kidogo tu ungejiuliza Lowasa amuue Mwakyembe kwa kuogopa kutajwa kwenye nini wakati alishatajwa na mamiliini yametumika kuandaa watu wa kumchafua na wanaendelea kumchafua.
Isitoshe ripoti ilishatolewa na imemtaja sasa sogope kutajwa wapi tena?
Kwa nini wasiwe ni wale ambao majina yao hayakutajwa japo walihusika?
Wale ambao hawakutajwa ndio ambao walikua na woga wa kutajwa lakini sio Lowasa ambaye tayari alikua ameshatajwa.

Pia ukumbuke kuwa ile tume haikua ni siri ya Mwakyembe na wala haikuwa ni uchunguzi wa siri wa Mwakyembe bali ilikua ni tume uliyohusisha wajumbe wengi na Mwakyembe alikua ni mwenyekiti tu,hivyo kila jambo liliamuliwa kwa maamuzi ya tume Mwenyekiti peke yake.

Jiulize ni kwa nini % kubwa ya wanaompinga Lowasa ni mawaziri lakini hawajamkamata kwa hayo wanayomsingizia.

Naamini kuwa kama Lowasa amesingiziwa MUNGU atawalipa wale wote waliomsingizia na kuyumbisha taifa na kujenga chuki kwa kumfitinisha na watu kwa kushuhudia watanzania wakimpa Lowasa Urais mwezi octoba.
lowasandiye aliyetuletea na kushinikiza kampuni feki ya Richmond ambayo haikuwa nauwezo kifedha, kitechnojia wala uzoefu wala mtaji wala haikua na ofisi.Alilazimisha kuwapa zabuni. Kwa mujibu wake na nyie wahuni wenzake hayoyalikuwa maamuzi magumu....ALILAZIMISHA TZ KUINGIA KWENYE MKATABA WAKIHUNI KWAMASLAHI YAKE yeye lowasa na mapacha wake wawili.
KIFUPI lowasa ANA UJASIRI WA KIFISADI. Wewe huwezi jua kwa nnaliufyatakuzungumzia hili sakata wakati aliahidi.YEYE MWENYEWE HAWEZI KULIKANANA HAWEZIKUJISAFISHA.

chunga kauli zako unless una ushahidi.

lowasa hana kipaji cha uongozi ila anakipaji cha uongo.
Uwezo wake ni kuongoza ng'ombe sio watu.
Lowasa ni jipu, ukitumbua vibaya utachafuka wewe, linahitaji timing sana

Watu wanachinja Kobe sembuse na EL!!!
 
lowasandiye aliyetuletea na kushinikiza kampuni feki ya Richmond ambayo haikuwa nauwezo kifedha, kitechnojia wala uzoefu wala mtaji wala haikua na ofisi.Alilazimisha kuwapa zabuni. Kwa mujibu wake na nyie wahuni wenzake hayoyalikuwa maamuzi magumu....ALILAZIMISHA TZ KUINGIA KWENYE MKATABA WAKIHUNI KWAMASLAHI YAKE yeye lowasa na mapacha wake wawili.
KIFUPI lowasa ANA UJASIRI WA KIFISADI. Wewe huwezi jua kwa nnaliufyatakuzungumzia hili sakata wakati aliahidi.YEYE MWENYEWE HAWEZI KULIKANANA HAWEZIKUJISAFISHA.

Hili linatosha ku discredit lowassa kuwa rais.
 
Tunapaswa kifikiri kwa kina, ningekua na uwezo wa kuwashauri wa tz wote ningewaomba tumpeleke ikulu mtu anaye toka nje ya ccm, yamkini atatusaidia kuwa bana mafisadi.
 
wanaojipendekeza kwa Lowassa itakula kwenu muulize Marecela wakati wa ununzi wamagari akiwa waziri mkuu kwenye ununuzi wa magari ya serikali
 
Hili linatosha ku discredit lowassa kuwa rais.

Ndio maana wanaotaka lowasa awe rais marazote huwa hawana sababu zozote za msingi na hapo ndipo nguvu ya pesa inapojidhihirisha.
Mtaji wa lowasa ni masini wa aina tatu
1. Masikini wa kipato
2. Masikini wa akili (elimu ndogo)
3. Masikini wa taarifa zinazomhusu lowasa
 
Tatizo la umasikini na akili ndogo ni kuwaza nitakula nini leo kesho itajijua. Na ndio Lowasa anatake advantage ya walala njaa na wenye akili ndogo
 
Kwa mfumo wa ccm ni bora huyo mnayemwita fisad.Waliobaki wote ni vibaraka wabnafsi.Mambo yatakua yaleyale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom