Lowasa: Hakuna wakuni kata jina ccm.

Lowasa: Hakuna wakuni kata jina ccm.

pesa ndo kila kitu, kama Uhuru na Ruto mbali ya maovu yao leo wanapeta ikulu bila wasiwasi. Hata Zuma kule south ni pesa tu na umbumbu wa waliowengi.
Africa siasa ni upumbavu mtupu.
Kizazi cha werevu na majasiri bado hakijazaliwa!
 
Lowassa mpango wa Mungu wa mbinguni...usiniulize swalii...!!
 
Hajajifanya yeye mkubwa kuliko chama bali kasema kweli hakuna mtu wa kumkata kwa sababu chama ni vikao si uamuzi wa mtu na ukitaka ushahidi muulizeni mangula na sekretereati yake walipotumia nguvu nyingi kuhakikisha jakaya hawi mgombea wa ccm lakini alipofika kwenye vikao wakanywea na jakaya akapasua akawa mgombe historia inajirudia na hata alipoulizwa kikwete na waandishi kama atashindwa akasema yeye hajaingia ili ashindwe tena akaengeza safari hii akifanyiwa mizengwe yeyote hatokubali kwa hiyo hakuna ajabu lowassa akisema hivyo na rekodi zipo mikakati miovu yote ilopangwa dhidi ya lowassa katika chama cha mapinduzi hakuna ulofaulu hata mmoja bali waloipanga walin'goka wao waulizeni chiligati, mukama, msekwa. Uvumi wote ulowahi kutangazwa dhidi ya lowassa hakuna hata mmoja ulowahi kutokea.
 
I have a feeling kuwa Lowasa anaonewa, Hii inadhihirika hata humu jamvini, kashfa za ufisadi zilizofanywa na viongozi mbalimbali wa ccm waliotia nia ziko nyingi sana, kwa nini watu wanazungumzia sana richmond na kusahau hata escrow ya juzi? Mie nafikiri kuwa ufisadi ni ufisadi tu na yeyote aliyehusishwa na ufisadi wowote hafai kuwa rais. Hata yule aliyechakachua katiba yetu hatufai.
Sasa hapa EL anaonewa au hao wengine hawatendewi haki kwa kutosemwa? Kama vipi anza wewe kuwasema, it is a free country.
 
Goodbye Lowasa, bado utaijua CCM vizuri
 
Would you go home mm mamvi we don't want you're big hand
 
Hivi yeye lowasa ni nani mpaka aseme hakuna wa kumkata jina,?kwanini anaona yeye ndio pekee anaefaa kuwa rais na si mtu mwingine yeyote? Je anamtishia nani kutangaza maneno haya kwenye vyombo vya habari? Ngoja tusubiri tuone kama ccm wataogopa hivi vitisho vya huyu fisadi. Haiwezekani mtu mmoja tena fisadi atishie nchi nzima kiasi hiki.

Atakatwa kwa sababu gani mfano? ndani ccm nani msafi atakayethubutu kuinua jiwe? au hujui kuwa kashfa zote hapa nchini zinaratibiwa na ccm system! ref. epa,meremeta,kagoda,escrow etc
 
Back
Top Bottom