Tazama Libya Ya Gadaffi Vs Demokrasia Ya Marekani

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
ImageUploadedByJamiiForums1434796072.486699.jpg
 
Mara nyingi nimeskia tukipewa lawama kuwa watu weusi ni wajinga,but nadhani hakuna race yenye watu wajinga kma waarabu,fatilia mambo yao utjua namaanisha nini.!!
 
Hawa wamelaaniwa sasa,! aliye waambia wa Mfi@$#r*%e yele mzee, ndion hayo sasa. Wanaomba sasa maisha yawe kama zamani tu !
 
I don't give a shit about Libyans. I think they deserve it !
 
Mara nyingi nimeskia tukipewa lawama kuwa watu weusi ni wajinga,but nadhani hakuna race yenye watu wajinga kma waarabu,fatilia mambo yao utjua namaanisha nini.!!

Ni kweli mkuu hawa jamaa ni viazi kwelikweli. Akili zao za kushikiwa
 
Sahivi wanaishi kama nguchiro ..America ni adui wa siasa za kujitegemea kwa Taifa lolote

Mimi siwalaumu Americans cause hyo ndio Sera yao ya kimataifa. Tatizo ni hawa baadhi ya viongoz wetu vibaraka na mazuzu ambao wanapenda madaraka ya haraka kufka hatua wana-wabetray wananchi kwa kuhaidiwa madaraka na USA.
 
Haya Ni Matokeo Ya Kufadhiri Ugaidi.Nani Alaumiwe??!

= kufadhili

Ni ugaidi upi ambao Gaddafi aliufadhili ewe mbwa wa mungu, tueleze. Au kuwafadhili ANC, chama cha Mandela wakati wanapigania siasa za kibaguzi kuondolewa Afrika ya kusini ndiyo "kufadhili ugaidi"? Au kuifadhili AU ndiyo "kufadhili ugaidi"?, maana nijuavyo Gaddafi ndiyo aliyetoa wazo la AU na pia alikuwa mfadhili mkuu wa chama cha Madiba.
 
= kufadhili

Ni ugaidi upi ambao Gaddafi aliufadhili ewe mbwa wa mungu, tueleze. Au kuwafadhili ANC, chama cha Mandela waakti wanapigania siasa za kibaguzi kuondolewa Afrika ya kusini ndiyo "kufadhili ugaidi"? Au kuifadhili AU ndiyo "kufadhili ugaidi"?, maana nijuavyo Gaddafi ndiyo aliyetoa wazo la AU na pia alikuwa mfadhili mkuu wa chama cha Madiba.

Eheeee !! Kazi imeanza !!
 
= kufadhili

Ni ugaidi upi ambao Gaddafi aliufadhili ewe mbwa wa mungu, tueleze. Au kuwafadhili ANC, chama cha Mandela wakati wanapigania siasa za kibaguzi kuondolewa Afrika ya kusini ndiyo "kufadhili ugaidi"? Au kuifadhili AU ndiyo "kufadhili ugaidi"?, maana nijuavyo Gaddafi ndiyo aliyetoa wazo la AU na pia alikuwa mfadhili mkuu wa chama cha Madiba.

Mbwa wa Mungu😳😳
 
Back
Top Bottom