Recent content by luiz jr

  1. luiz jr

    Kulala Kifo cha mende kibaya sana kunanitesa

    Kwan kuna uterezi muda wote?
  2. luiz jr

    Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Niambie 5 star hotel iliyopo mbeya/tanga? Sehemu gani ya mikutano ya kimataifa mbeya/tanga? Kuna super market gan ya maana mbeya/tanga? Kama hatujui vitu tusomage comment tu tuelimike
  3. luiz jr

    Simu Ipi Bora Kati ya Tecno, Huawei na Simu ya iTel

    Huawei ip?,mimi natumia mate 8 mwaka wa pili sasa ktu kama kipya
  4. luiz jr

    PDF to WORD converter

    Tafuta hiyo
  5. luiz jr

    Nani bora kati ya Paul Pogba na Kevin De Bruyne?

    Pogba ndo nani?KDB ni munyamaaa
  6. luiz jr

    Asilimia 40 ya magoli waliyofungwa Madrid La Liga yamepitia kwa Marcelo.

    Ishu ni marcelo au mesi,maana umejivuruga mwenyewe
  7. luiz jr

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Battle its about Dar es salaam vs Nairobi or TANZANIA vs :????[emoji144]
  8. luiz jr

    Natengeneza na kuuza vitanda vya sofa kwa bei poa kabisa

    Mkola level nyingine mkuu huwezi linganisha na mlingoti,kwa wazee wa amsha popo mlingoti unaweza kujikuta sakafuni[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  9. luiz jr

    Msaada kwa wanaoijua njia ya kutoka Tabora kwenda Mbeya

    [emoji2] [emoji2] upande wa tabora wameshaanza
  10. luiz jr

    Msaada kwa wanaoijua njia ya kutoka Tabora kwenda Mbeya

    Sasa hivi kuna improvement kubwa sana japo barabara ya vumbi haikosi changamoto
  11. luiz jr

    Msaada kwa wanaoijua njia ya kutoka Tabora kwenda Mbeya

    Tabora-mpanda 364km,mpanda-swanga 254km
  12. luiz jr

    Msaada kwa wanaoijua njia ya kutoka Tabora kwenda Mbeya

    Mwaka gan kaka,acha kumtia hofu mwana mi juzi nmepita na paso
  13. luiz jr

    Msaada kwa wanaoijua njia ya kutoka Tabora kwenda Mbeya

    Tabora- mpanda- sumbawanga iko poa nmepita juzi sema mbavu za mbwa kama kawa
  14. luiz jr

    Msaada kwa wanaoijua njia ya kutoka Tabora kwenda Mbeya

    Njia iko poa ila rasta za kutosha mkuu,pakia kamzigo kidogo pia punguza upepo wa tairi kiasi
Back
Top Bottom