Nafuatilia kwa makini mno yanayotokea chadema,,,, wanao yapinga wanakuja na hoja za ubinafsi na si zenye mahadhi ya chama,,,wanaibua vioja vya udini,ukanda na ukabila,,,,....ndugu zangu kujisafisha kupo.tuelewane na tuwe majasiri..........kina kitila hawajaweka ushahidi wa kutosha wa matumizi ya...