CHADEMA Singida Yamshangaa Mwenyekiti aliyejiuzulu...

hata mimi kamanda wangu nimeshaanza kukata tamaa... Hivi kuna tatizo gani zitto kugombea uenyekiti..kama anajiamini angemuacha tu dogo wapambane kwenye masanduku ya kura

Ni uchaguzi gani Zitto alikatazwa kugumbea uenyekiti wa Chadema..??
 
CDM tuendako si kwenyewe. Mungu ampe hekima Mbowe ili isiwe chanzo cha cha CDM kuwa historia. Tumeshapoteza focus, badala ya kusonga mbele tumeanza malumbano na kuonana wabaya. Tusiendelee kuchemsha zaidi wana chadema.

Mwanachama wa chama akikiuka taratibu na kuandika waraka wa kukigawa chama wewe utamuona 'mzuri'..??
Mwanachama huyo-huyo anajua kabisa taratibu za kufuatwa, ila makusudi anaandika waraka kinyume cha taratibu..!!
Kwako wewe utamuona 'mzuri' tu, hana tatizo..!!!!
 
This could be a blessing in disguise for CHADEMA. If they properly manage the conflicts emanating from their decision to sack some of their leader and sail through this turbulance unbroken they are likely to develop into a force to reckon come 2015 elections.
 
Upinzani upo imara,mamluki wapishe njia.
Hakuna upinzani wenye mamluki.Ni njaa zisizo na msingi.Wahamie CCM
 
Hivi kweli mtu au watu waliotumia muda wao kuasisi matatizo haya katika cdm wanaweza kuaminika hata wakienda kwingine?
 
Kauli yetu ni kwamba
"aende tu,hana lolote,mzandiki,hana mbele wala nyuma,msaliti,mfitini" haya maneno yatatumika mpaka lini? lini mwisho wa maneno haya?
waswahili wanasema "chama ni watu na watu ni chama"
maji yanazidi kuingia melini,madhara ya maji kuingia melini kila mtu anayaelewa,ni wakati sasa wa kutafuta nyenzo za kuyatoa maji hayo yasije sababisha uzito ukazidi na kuifanya meli yetu isifike kule tutakako.
 
Mwanachama wa chama akikiuka taratibu na kuandika waraka wa kukigawa chama wewe utamuona 'mzuri'..??
Mwanachama huyo-huyo anajua kabisa taratibu za kufuatwa, ila makusudi anaandika waraka kinyume cha taratibu..!!
Kwako wewe utamuona 'mzuri' tu, hana tatizo..!!!!

Kwani mmoja wa famila yako akikosea unafanyaje????????
 
Lakini tuangalie na upande wa pili je ni halali mbowe kugombea peke yake ili apite bila kupingwa???
Nani kakuambia Mbowe anagombea peke yake??
Uchaguzi wenyewe mwakani, hata kuanza kuchukua form bado, wewe umejuaje kama Mbowe anagombea peke yake?
Nyinyi ndio mnaoendesha maisha yenu kwa kutegemea ramli za waganga wa jadi!!
 
CHADEMA wanatumia msemo wa 'muungwana akivuliwa nguo.....'

Katika hali ya kawaida kwa mfano, ulitegemea CHADEMA wangesema nini kwa hali ilivyo? This is natural!

Comments zitakuwa kama hizo lakini the truth will always prevail kwamba kujiuzulu kwa hao viongozi kunaacha pengo CHADEMA na kuzidi kuzipa nguvu propaganda za wapinzani wenu.
 
Mwanachama wa chama akikiuka taratibu na kuandika waraka wa kukigawa chama wewe utamuona 'mzuri'..??
Mwanachama huyo-huyo anajua kabisa taratibu za kufuatwa, ila makusudi anaandika waraka kinyume cha taratibu..!!
Kwako wewe utamuona 'mzuri' tu, hana tatizo..!!!!

Kwani mmoja wa famila yako akikosea unafanyaje????????..
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom