Pingamizi la CUF dhidi ya CHADEMA latupiliwa mbali Chalinze

AAH! Kumbe jamaa hakuwa na uraia wa uwingereza?

Tunajua mtashindwa vibaya huko Chalinze , lakini tunataka mshindwe kihalali, sio kufanya makosa kwa makusudi kwenye kujaza fomu ili msishiriki uchaguzi. Janja yenu tuliishaishtukia

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la chalinze amemtangaza Mathayo Torongei kuwa MBUNGE HALALI WA CHALINZE.
 
AAH! Kumbe jamaa hakuwa na uraia wa uwingereza?

Tunajua mtashindwa vibaya huko Chalinze , lakini tunataka mshindwe kihalali, sio kufanya makosa kwa makusudi kwenye kujaza fomu ili msishiriki uchaguzi. Janja yenu tuliishaishtukia
Nikifuatilia threads zako na michango yako mbalimbali humu JF inaonyesha unaishi majuu. Zaidi ya miaka 50 ya kujitawala hakuna matibabu ya kueleweka,elimu mbovu,maji ya taabu,umaskini uliokithiri miongoni mwa ndugu zako.Hayo yote yanatokea tukiwa tunatawaliwa na CCM,chama dume. Tuonee huruma ndugu zako tulioko nyumbani, acha ubinafsi ndugu. Mabadiliko ni lazima ili tupate mabadiliko.
 
AAH! Kumbe jamaa hakuwa na uraia wa uwingereza?

Tunajua mtashindwa vibaya huko Chalinze , lakini tunataka mshindwe kihalali, sio kufanya makosa kwa makusudi kwenye kujaza fomu ili msishiriki uchaguzi. Janja yenu tuliishaishtukia....
Utakua lini wewe......
 
mkuu wa tume ya uchaguzi kuwa makini cdm haibahatish hata siku moja ok any way ulitumwa co kosa lako
 
AAH! Kumbe jamaa hakuwa na uraia wa uwingereza?

Tunajua mtashindwa vibaya huko Chalinze , lakini tunataka mshindwe kihalali, sio kufanya makosa kwa makusudi kwenye kujaza fomu ili msishiriki uchaguzi. Janja yenu tuliishaishtukia

Ma.ma.mako ni ma.ta.k yako! Unatia aibu! Kila nikisoma post zako nakumbuka dhuluma uliyomfanyia mke ya marehemu!
 
Back
Top Bottom