Recent content by luhuye

  1. L

    JamiiForums Tanzania Msema kweli ni Mpenzi wa mungu.

    masikini tulipiga makofi na kushangiria baada ya huu msemo tukasahau kwamba tembo hakondi kama sungura
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dalali Mwanza

    kama kuna dalali wa vyumba toka mwanza hasa maeneo ya nyakato meko neshino tuonane
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwongozo mpaka unafika nje kwa njia rahisi

    Asante kutujuza
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake msifanye mapenzi yote, kumbukeni kuwaachia na waume zenu watarajiwa

    🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu

    Umeua
  6. L

    JamiiForums Tanzania Muna Love: Wakati naolewa na Peter nilikuwa na mimba ya Casto ya miezi miwili

    Achana na hayo pambana na maisha
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Mgegedo Nahisi Beki 3 Katoboa siri

    Huyu anaweza kutuvunjia utaratibu tuliojiwekea wanaume amebaha
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ijue sababu kwanini wachawi wakiingia nyumbani kwa mtu kuwanga huwa hawaibi pesa

    Na ukitaka kuilinda nyota yako unatakiwa ufanyenini
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ninaomba ushauri wako, nataka kuanzisha tuition

    Kumbuka tutaleta watoto jinsia zote na rika tofauti mahusiano ya kingono na wanafunzi wako ni kosa kubwa
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa sio wahanga wa majanga?

    M kuu hiyo ya usawa ni mipango ya wana dam kumbuka agizo la mungu linasemaje kuhusu hizi jinsia mbili kama ukifatilia utawasikia wakisema kwamba tukiwezeshwa tunaweza manayake ni kwamba kama mwanaume hayuko nyuma yake hawezi
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa sio wahanga wa majanga?

    Wanaume mateso ni sehem ya maisha yao ndomana ukikumbwa na shida utasikia we ni mwana ume jikaze
  12. L

    JamiiForums Tanzania Amri ya kukata miti ya upanga uzazi

    Wapi ndugu nyangoto kiwanja matongo kerende kwinogo mrwambe
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

    Umeuwa
Back
Top Bottom