Msema kweli ni Mpenzi wa mungu.

Msema kweli ni Mpenzi wa mungu.

Saaaafi saaana kama na wewe ulikua ni miongoni mwa wale mashabiki, kiroho safi kabisa nakuombea uzidi kuisoma namba vizuri tena uisome kwa herufi kubwa ili siku nyingine mue mnapunguza viherehere watu wanapozungumzia uhalisia wa mambo jinsi yanavyoenda.
Barikiwa sana mkuu,

Maendeleo hayana chama
Na iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama yake!
 
Eti braza kaka, Laki Si Pesa Milioni aitasaidia, huko kwenu bado unawasikia? Wacha nishuke Meridiani japo ninywe bia 5
 
Acha waisome nambaeee,huyu jamaa atatuua.

Juzi nimeenda pssf naulizia malipo yangu baada ya kupgwa danadana nikajibiwa hawajaanza kulipa,nipo gorofa ya tano kuna jamaa mmoja bonge ivi inaonekana ni mtu wa utani sana akaanza kucheka huku ananiambia ndiyo nyie mulie mchagua huyu jamaa ,alicheka sana

Kwa kweli niliumia sana ,siyo siri huyu jamaa kabadilisha mambo sana na yanaumiza watu sana,ila kama tungekuwa na mshikamano tungemnyima kula aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania Wengi ni wajinga sana!
Si mlishangilia kipindi Jamaa anasema atashusha matajiri waishi kama mashetani!
Hata theory za uchumi zinakataa kabisa kama ili umpandishe huyu masikini basi lazma umshushe tajiri! HAKUNA KITU KAMA HICHO DUNIANI KOTE!
Sasa wanaoongoza kwa kulalamika ni wale wale waliokuwa wanashangilia watu kushushwa!
Mi nasemaje!
Jamaa aendelee kukaza ili watanzania tuache unafiki
tena akaze mpaka ikatike akili zutukae sawa
 
Naunga mkono hoja hapa bado kabisa azidi kuikaza hadi watu watembee uchi barabarani na kuanza kuokota makopo kwa kuchanganyikiwa... 2015 nikiwa mkoa fulani kikazi na kazi yangu haikuniruhusu kujihusisha na siasa wala kupiga kura niliona masikini wengi sana wakishangilia kauli za kipumbavu za wanasiasa na za kebehi kwa matajiri nikaishia kutingisha kichwa kwa huzuni. Watu wale waliokua wakishangilia ndio wanalia kilio cha mbuzi sasa hivi, Mimi binafsi nasemaje "Baba Magufuli bado hali ni nzuri mitaani endelea kukazaaaaaa hadi tukumbuke vijijini kwetu kwa wale tuliolowea mijini"
 
Ha ha haa tukitembea uchi wote sasa si tutawatisha hata wanyama mwitu?..lol
 
[emoji444][emoji445] wacha waisome namba ehhhh ccm mbele kwa mbele [emoji445][emoji444]
Tulia ameshika mpini na sie tupo kwenye makali
 
Naunga mkono hoja hapa bado kabisa azidi kuikaza hadi watu watembee uchi barabarani na kuanza kuokota makopo kwa kuchanganyikiwa... 2015 nikiwa mkoa fulani kikazi na kazi yangu haikuniruhusu kujihusisha na siasa wala kupiga kura niliona masikini wengi sana wakishangilia kauli za kipumbavu za wanasiasa na za kebehi kwa matajiri nikaishia kutingisha kichwa kwa huzuni. Watu wale waliokua wakishangilia ndio wanalia kilio cha mbuzi sasa hivi, Mimi binafsi nasemaje "Baba Magufuli bado hali ni nzuri mitaani endelea kukazaaaaaa hadi tukumbuke vijijini kwetu kwa wale tuliolowea mijini"
haswaaaaa dawa mbona haijaingia bado
 
Msiwe na wasiwasi sasa hivi tupo pazuli, tupo kwenye raiti traki
Si mmejionea wenyewe tumeshakua dona kantri, nchi zote masikini tunazipa chakura bureee kama hauamini waulize Zimbabwe.

Ndiyo mambo nayojutia hayo hata aliposema hakuna chakula cha msaada kwa wenzetu Tukaambiwa Serikali haitoi Chakula cha MSAADA matokeo yake ndiyo hayo ya Zimbabwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo mambo nayojutia hayo hata aliposema hakuna chakula cha msaada kwa wenzetu Tukaambiwa Serikali haitoi Chakula cha MSAADA matokeo yake ndiyo hayo ya Zimbabwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfanye kazi, serikali ya sisiemu haikuleta tetemeko.
Yaani hapa natamani ti.ara.ei ianzishe hata kodi za viungo vya uzazi ili namba isomeke kwa herufi kubwa.

Maendeleo hayana chama
 
Mfanye kazi, serikali ya sisiemu haikuleta tetemeko.
Yaani hapa natamani ti.ara.ei ianzishe hata kodi za viungo vya uzazi ili namba isomeke kwa herufi kubwa.

Maendeleo hayana chama
Wewe mzee umenoga kipesa ila nadhani round zijazo na wewe utakuwa kama Tajiri Shetani..wewe unataka mjomba ako akamatie chini kwa chini kama mwendo wa singeli...hapa nilipo nipo posta tangu saa kumi na mbili asubuhi nipo kwa ajili ya mapambano ya hapa kazi tu ya kupata nauri na kuoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom