nia ya harambee ni kutokomeza ziro,kisha unaalika mtu mwenye ziro nae azungumze unategemea ataongea nini zaidi ya pumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah Bwaise!!!nimekumbuka mbali sana enzi nachapa degree ya kwanza Makerere hapo,mitaa ya Angenour,Silk nilikuwa sikosekani,vilevile Kimansulo kwa wadada wanaocheza uchi!!!daaah kweli Makerere 'As We Build For The Future'
nimesoma na Mavunde Masters UDOM 2009-2010,kipindi hicho alikuwa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dodoma,kwanza ni mtu poa sana,lakini pia ni mtu anayependa sana kupiga pamba kali,masutisuti na nguo kali za vijana ndio uvaaji wake,hivyo always huwa yupo smart
Nilikuwa nabet sana Football miaka 2 iliyopita. Nilikuwa nakula na kuliwa hivyo Ngoma ilikuwa almost draw. Mwezi wa 3 mwaka huu kuna mdau aliweka bandiko humu la kujifunza kubet basketball akisema ni rahisi kushinda kuliko Football. Nikajifunza ndani ya masaa mawili nikawa nimeshajua jinsi ya...
Ndugu The Valiant na wengine mnaopinga,binafsi nilishafanya kazi Jeshi LA Polisi tena Idara ya Upelelezi kwa miaka 9,niliacha baada ya kumaliza degree yangu ya kwanza 2007,hivyo ninalijua Jeshi vilivyo,ni vema kuacha kupinga kila kitu kama hujui
Sent from my itel it1508 using JamiiForums...
Story hii ni ya kweli maana wanaokamatwa kwa mauaji ya huko Kibiti,Mkuranga nk wrote wanahifadhiwa SITAKI SHARI POLISI,nilikuwa katika mpango wa kununua gari mwezi June,hilo gari nililiona KUPATANA,wakati limeletwa ili nilikague kisha nikajiridhishe TRA nikakamatwa na POLISI wa Sitaki Shari...
Tatizo vijana wa siku hizi mmezaliwa kizazi cha instra na smartphone hamna mbinu za medali,hakika jando lilitusaidia sana sisi wakongwe,utaingiaje lodge na binti,umvue nguo kisha ushindwe kumla!!aibu sana hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.