Mbona sasa umepunguza sifa zingine za wateule wa Rais:-
1: Awe amefoji cheti
2:Awe na kosa la jinai
3:Awe jambazi
Mteule wa Rais yuko juu ya sheria za nchi.
Hivi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nao ni wabunge wa kuteuliwa kumbe!!! Mbona hiyo ibara ya 67 (1) inazungumzia wabunge na sio mamlaka za wakuu wa mikoa au wilaya? Wonders shall never end in Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.