Mbona ume quote Wanachama wenzio wa MMU
- Jaji Aloysius Kibuuka Serunkuma Mujulizi : ESCROW judges defended http://www.thecitizen.co.tz/News/na...-defended/1840392-2617000-119cdnmz/index.html
Class of 1987
LL.B. Makerere University
Hons.
Law Development Centre
Class of 1988
Diploma
in Legal Practice
Robert Kennedy University, Zurich
Class of 2002
Diploma in International Tax Law
c.c Malaika Mkuu ; kisu cha ngariba ; OSOKONI ; mwasu ; mputa ; Kali3 ; tanga kwetu ; Salary Slip ; ibambasi ; samora10 ; BAK ; Daudi mchambuzi ; Pohamba ; Mkwepa Kodi ; Simiyu Yetu ; OKW BOBAN SUNZU ; Mshana Jr ; Sky Éclat ; QUIGLEY ; kkarumekenge ; katavi ; nifah : crashwise ; barafuyamoto ; TL. Marandu ; Zawadi B Lupelo
- Jaji Upendo Hillary Msuya Jaji Upendo Msuya yasababisha watuhumiwa wa madawa ya kulevya kutoweka Sept 3, 2013 Source : Maamuzi ya Jaji Upendo Msuya yasababisha watuhumiwa wa madawa ya kulevya kutoweka
Pia elimu yake ni ya mashaka mashaka !Huyo Upendo ana kashfa ya kula mlungula kwa kesi za watu wa "unga"
wataijengaje ilhali wameachia bodi?
Bashite awamu yake bado haijafika?TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ikulu, Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa viongozi wafuatao;
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa Nlimu Wa Mkoa wa Kilimanjaro.
2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Taarifa iliyotolewa leo tarehe 16 Mei, 2017 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi inaeleza kuwa Mhe. Rais Magufuli ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa viongozi hao kuanzia tarehe 15 Mei, 2017.
Mikurugenzi wa Mawasiliano ya Rais,
IKULU Dar es Salaam 16 Mei, 2017
Kaka usidanganyike na kujiuzuru huko,waafrika hatuna utamaduni wa kujiuzuru na awamu hii haina mbeleko ya kuwabeba watu,ukiona mswahili anajiuzulu jua kuna kitu nyuma ya pazia na si kitu cha manufaaa ya umma bali manufaa binafsi,nadhani utakumbuka hata aliyekuwa waziri mkuu aliyejiuzuru unadhani alipenda huko kujiuzuru?hiyo ni lugha ya kistaarabu kwa kusepa kiungwana,usipataka subiri ya kusubiriUtawajua tu Viongozi wanaojitambua. Hongera yao kwa kutopenda Kupelekeshwa
Umenena kaka,manyumbu yanafikiri vinginevyo,wamesahau hata Lowassa nae alijiuzuru sio kwa kupenda bali kulazimikaHAPANA.HII NI VIZURI KUKATOLEWA UFAFANUZI.INAELEKEA KUNA KASHFA(SKENDO) IMEWAHUSISHA VIONGOZI HAWA KTKA UTENDAJI WAO WA KAZI.HIVYO RAIS KAWAHURUMIA KWA AJILI YA MUDA WAO MREFU WALIOTUMIKIA SERIKALI,..AKAWASHAURI WAANDIKE BARUA YA KUACHIA NGAZI.VINGINEVYO WASIPOJIUZULU, ANGEWATUMBUA.
Nawapongeza kwa uamuzi waliochukua na Mheshimiwa Rais kwa kuweza kukubali ombi yao ila kwa wana Kilimanjaro tumekosa jembe (Rc Meck Sadick)TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ikulu, Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa viongozi wafuatao;
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa Nlimu Wa Mkoa wa Kilimanjaro.
2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Taarifa iliyotolewa leo tarehe 16 Mei, 2017 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi inaeleza kuwa Mhe. Rais Magufuli ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa viongozi hao kuanzia tarehe 15 Mei, 2017.
Mikurugenzi wa Mawasiliano ya Rais,
IKULU Dar es Salaam 16 Mei, 2017
Kama alivyo Daudi A. Bashite eeee.Huyo Upendo ana kashfa ya kula mlungula kwa kesi za watu wa "unga"