Ukweli ni kama sindano. Hakuna ubishi walimu wa Tanzania wanapaswa wajiulize kama kweli hawana moja ya hizo sifa tajwa. Ukiacha hilo walimu hulalama kilà mwaka kuwa serikali haiwalipi haki zao lakini mwisho wa siku kwa njaa zao au sijui nini ndiyo wanatumika sana kuibeba serikali wakati wa...
Hoja inapotolewa na mnywa maji ya bendera Mara zote hukosa mashiko. Hivi Watanzania wangapi wa kawaida wanapanda ndege ndipo tuone kuwa kujenga terminal 3 Dar ni jambo la kujivunia? search kwenye net ujue kuwa kuna nchi ndogo kama Shelisheli (Seychelles) au Paula zenye watu chini ya laki moja...
Hivi wewe unauliza au unatoa maelezo? Maana kichwa cha habari ni swali lakini maelezo yako yanaashiria taaarifa. Hivi umesoma shule gani? Husomeki !!!!!¡!
Hao ni wezi tu kwani supermarkets zote duniani huwa zinakuwa na vitu vidogovidogo kama pipi na biskuiti kaunta ili wakikosa chenji ndogo humpa mteje. pia ni jukumu lao kuandaa hizo miamia toka kwenye mabenki
Wewe umesoma shule gani ambayo mwanafunzi wa secondary anajitafutia 88% nadhani wewe na Kawambwa mmesoma shule moja. kama mwanafunzi wa sec kidato cha kwanza hadi cha nne anafundishwa 12% wa university anafundishwa asilimia ngapi? Acha kudanganya watu sisi sote tumesoma tena huenda kukuzidi
Wewe umesoma shule gani ambayo mwanafunzi wa secondary anajitafutia 88% nadhani wewe na Kawambwa mmesoma shule moja. kama mwanafunzi wa sec kidato cha kwanza hadi cha nne anafundishwa 12% wa university anafundishwa asilimia ngapi? Acha kudanganya watu sisi sote tumesoma tena huenda kukuzidi
kweli watu wengine wamekalia akili wanatembelea macho maana hata hoja wanazotoa utumbo mtupu. nadhani kwa namna anavyomtetea kawambwa utadhani kuna anachopata
Nashukuru sana kwa ujumbe mzito ambao kama kweli serikali inataka kumaliza tatizo hawana sababu ya kwenda Loliondo dawa ni hiyo article wakifuata ushauri wako tumepona. Tatizo ndani ya Viongozi wetu wamo wenye UDINI na kuamni kuwa wakitoa kauli za kuwakwaza waumini wenzao labada watatengwa. Mimi...
Hapa ishu sio kubadili mifumo. Cha kujiuliza huku kubadili mara leo namba mara mwaka huu majina wanafuata kigezo gani? Nadhani ndiyo maana hata baadhi ya watu wanahoji mitaala inayotumika shuleni. Kama mfumo ni namba basi uwe huo ili wazazi wajue kuwa matokeo yakitoka huwa ni namba kwa kufanya...
Utapoteza muda kubishana na watu hao maana shida yao kubwa ni wivu tu wa kimaisha hakuna cha nyama wala nini. Mkristo akifaulu kapendelewa, akiajiriwa sababu mkristo akijenga nyumba kaiba sadaka. Kaamua kula alichochijna nongwa sasa jema lipi?
Hivi mnaponunua nyama za ng`ombe supermarkets (...
Kama UDSM imepanda chat ni jambo la faraja lakini wasiwasio wangu isije ikawa kama tunavyoambiwa uchumi wa tanzania umepanda kwa asilimia 7 lakini huku mtaani umasikini ndio kwanza unashika kasi. Hizi takwimu nazo ziendane na hali halisi. Je elimu inayopatikana UDSM inakidhi haja ya kuendana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.