Radio imaan na sakata la kuchinja

Radio imaan na sakata la kuchinja

Status
Not open for further replies.
kuwa mtanzania na kuweza kuishi tanzania ni moja wapo ya maaaju ya hapa duniani
 
Daaa..! Hili filamu(bongo movie) la kidini sijui litaisha lini mana inaonekana kuwa ni filamu ndefu kwel kwel kama "days of our life".HAIISHI TU?!
 
Watanzania mjilaumu wenyewe kwa matukio mabaya yanayoendelea nchini kwa sasa!! Serikali ya ccm haikuingia mstuni na kutwaa madaraka bali mliipa kura kwa ushabiki wenu wenyewe!!! Hiyo ndiyo kasi mpya... na ndiyo madhara ya kupiga kura kama vipofu!!
 
hiyo safi kuweka maelezo kama hayo kwa kuwa mtu kama mimi sitopata shida ya kutonunua kabisa nyama kwenye bucha kama hilo,kwa kuwa imani yangu ya kidini hairuhusu,nadhani hiyo ndio solution na waislam waandike maandishi kama hayo,kazi kwisha
 
View attachment 83451

Hapo vipi? Nimeikuta humu JF hiyo Bucha
muhimu na waislamu wawe na bucha zenye maandishi makubwa kama hayo,yanayobainisha kuwa nyama imechinjwa kiislamu,tatizo si nani achinje??!!!
tatizo ni nyama imechinjwa na nani baada ya kufika buchani,kama mkristo atakula mkristo mwenzako na kama muislamu watakula waislamu wenzako
 
Nasikia siku ile kule buseresere nyama iliyochinwa na hawa bagharashia ilikuwa hainunuliwi so wakaona hasira ndo kwenda kushambulia bucha za wagalatia.yan wao wanajijua tukiamua tusile nyama zinazochinjwa na wao basi watakufa njaa.usidhan wanalilia kutimiza masharti ya dini yao no wanaona watakosa ngawira si unajua shule hawana wale

Maneno yako yanafanana na sura yako kwa ubaya. Mwanamke mweny hshma hawzi kuandika hivi
 
Hatutendi kwa matakwa ya mtu wala matamko ya Papa, kama vile tamko mlopewa la kuoana ninyi kwa nyinyi, yaani kulawitiana kuwa tendo halali linalotambuliwa na Kanisa !
Usibadilishe huu ni Ugonjwa wenu mkubwa a.k.a Mombasa.
 
Kweli lakini tusiishie hapo tu!
Kuwe na Mou ya Wakristo na Serikali na Mou ya Waislamu na Wakristo.

Kuwe na NECTA ya Waislamu na NECTA ya Wakristo.

huo ni uchochezi na matokeo yake ni mabaya
 
Kweli lakini tusiishie hapo tu!
Kuwe na Mou ya Wakristo na Serikali na Mou ya Waislamu na Wakristo.

Kuwe na NECTA ya Waislamu na NECTA ya Wakristo.

Unafikiri Tanzania ni ya serikali(sijui una maanisha nini unaposema serikali), wakristo na waislam tu? Think Big!
 
La kuchinja halina shida, kila dini iwe na bucha zao, tusilazimishane mambo yasiyo ya lazima.
 
Sasa wakichinja waislamu wakaipeleka kwenye mabucha wakainunua wenye mahoteli si wanaweza wakawalisha wakristo pia? huoni kuwa hilo ni tatizo pia? Au unadhani nyama akichinja muislamu kwa dua ya kiislamu ni sahihi kwa mkristu kuila?

Ndio maana sikumjibu, maana niliona jamaa mwepesi sana
 
hiyo safi kuweka maelezo kama hayo kwa kuwa mtu kama mimi sitopata shida ya kutonunua kabisa nyama kwenye bucha kama hilo,kwa kuwa imani yangu ya kidini hairuhusu,nadhani hiyo ndio solution na waislam waandike maandishi kama hayo,kazi kwisha

Tatizo wenzetu wanakimbilia kuchukua majambia. . . their minds are full of violence! yaani these guys can not think beyond killing
 
Redio imaan wanalalamikia viongozi wa kikristo waliohimiza waumini wao kutokula nyama iliyochinjwa na watu wa imani tofauti, wanasema hii ndio ilikua mwanzo wa mauaji huko buserere

Swali kwa redio imaan, Mi nikiamua kuchinja nyama yangu tatizo nini? Kwani nikiamua kutokula mlivochinja nyie taabu inatoka wapi?

wewe nyonga tu nyumbani kwako ule wewe na wanao no one will blame you lakini ukinyonga na kuweka buchani na ukadai hii ni bucha ya wakristo unahatarisha imani za wasio wakristo na hapatakalika tena
 
Uswe usidhan kama unaiskiza peke yako,wao wanasema kwamba kuchinja nyama na wao wenyewe (wakristo) wakaila si tatizo,ila kupeleka mabuchani ndo kutaleta mtafaruku,maana wanaweza wakanunua watu wenye hoteli then wakaenda kuwalisha waislam,
Utapoteza muda kubishana na watu hao maana shida yao kubwa ni wivu tu wa kimaisha hakuna cha nyama wala nini. Mkristo akifaulu kapendelewa, akiajiriwa sababu mkristo akijenga nyumba kaiba sadaka. Kaamua kula alichochijna nongwa sasa jema lipi?
Hivi mnaponunua nyama za ng`ombe supermarkets ( Shoprites, uchumi au Mlimani city) zinazotoka nje kama south Africa, Botswana Nk mnajua hizo nyama alichinja nani ? Mbona hamuhoji? Waislamu tunakuwa nao nchi mbalimbali zikiwemo Japan, China na kadharika wanakula kila nyama no kuuliza kachinja nani lakini wakiwa home wanajifanyaaa kuwa wao eti wanaimani kali. Hivi Redio Imani na gazeti la Mwanahalisi nani anahatarisha amani ? Mimi naona hata serikali imekuwa Bias katika kuangalia sheria za vyombo vya habari
 
Uswe usidhan kama unaiskiza peke yako,wao wanasema kwamba kuchinja nyama na wao wenyewe (wakristo) wakaila si tatizo,ila kupeleka mabuchani ndo kutaleta mtafaruku,maana wanaweza wakanunua watu wenye hoteli then wakaenda kuwalisha waislam,

lakini suala la GEITA ni kwamba nyama ilichinjwa Kanisani na walikuwa wananunua wakristo.

Waislamu ndio walienda kuwavamia pale kanisani; sasa sijui ndugu yangu wewe hiyo Radio ilikwambia nini ulipoisikiliza.

Je, Wakristo walipeleka ile nyama Buchani kuuza.

Je, iliuzwa mahotelini.


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Last edited by a moderator:
Hii radio Iman nadhani ni mfano wa kuigwa..! Walahi tena mahubiri yake yanatetea maslahi ya wale walionyanyasika kwa kipindi kirefu..!
 
mabuchani wakristo hawataki kula tena nyama iliyotolewa kwa miungu ya waislamu. period. na hivyo wakristo katika bucha zao wataweka nyama zao. Kwani uliwahi kuona mkristo aliyezikwa katika makaburi ya waislamu au shehe aliyefunga ndoa ya mkristo kanisani??? basi na kuchinja nako inawezekana kila watu wakajichinjia na kula nyama zao!!


Usiseme wakristo sema wakristo wa dhehebu la (.......................) hawataki kula nyama iliyo chinjwa na waislam. Lakini mimi nikichangia nasema hivi kwakuwa wakati wa kuchinja waislamu hutamka maneno ya kiarabu sijui kwa kuwa wengi huwa hawajaelea tafsiri yake ndio maana wamepata shaka. maneno yanayotajwa hapo wakati kuchinja hayahusishi kuvuruga imani ya mtu (mkristo). Ni sawa na mtu akisalimia assalaam aleykum katika kundi la waislam na wakristo baadhi ya wakristo wanaitikia na wengine hugoma katakata, hiyo ni salamu tu haibadilishi imani ya mtu. Tujifunze ,tusome vitabu vyote kablaa ya kulumbana.
 
..............mwanangu ajuwe kusoma Qur'an kisha ashindwe A B C D !? nyie ndo maana mnawekewa picha kisha mnaambiwa huyu mungu, mnaitikia ameen. kila ujinga wa propaganda mnajazwa !


Tatizo lenu Waislamu mnapenda kusoma Biblia tu, ndio maana hata kwenye mihadhara ya Dini ya kiislamu kutwa mnajadili Biblia badala ya kusoma Quran. Wailasmu ni midomo tu hata maandiko yenu hamuyajui.

NENDA KASOMe maandiko haya, kama huwezi kutafsiri nenda kwa Sheikh atakusaidia ili uelewe:-

Qur’an nayo inayaeleza makundi yanayotakiwa kuchinja na chakula hicho kiwe halalai kwa Waislamu. Tunayasoma hayo katika Suratul Al-Maidah, 5:5 “ Leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri na chakula cha wale waliopewa kitabu ni halali kwenu na chakula chenu ni halali kwao……..”Unaposoma ufafanuzi wa aya hiyo ndani ya Qur’an unasema “Chakula cha kuchinja hakiwi halali kwa Mwislamu ila kichinjwe na (a) Mwislamu (b) Myahudi (c) Mnasara (Mkristo) Kwa sharti ile ya kuchinja siyo kuwanyonga”

Hivyo mbali na Mwislamu, Myahudi na Mkristo pia wanayoruhusa kuchinja na Mwislamu akala bila hofu yoyote.

Muislamu anaweza kuchinja mnyama hata kwa kutamka jina lake tu akisahahu kutamka jina la Mwenyezi Mungu. Mkweli Mwaminifu, kimeandikwa na Sheikh Said Moosa Mohammed al-Kindy wa Muscat Oman, Juzuu 3-4, uk.13 Hadith na.727 inasomeka hivi: Muislamu inamtosheleza jina lake,basi akisahau kusema jina (la Mwenyezi Mungu) wakati anapochinja, basi aseme (anapokumbuka) kisha ale”.
Je jina la muislamu huyu lina uhalali gani hata kuwafanya wengine wale vibudu

Hata vitabu mbali mbali vinaeeleza kuwa Chakula cha Wakristo ni halali pia hata kwa Waislamu Safari moja aliulizwa Abu Dardaa (r.a) kuhusu beberu aliyechinjwa kwa ajili ya kanisa linaloitwa Jurjus:- Utakula nyama yake? Akajibu Abu Dardaa, Ewe Mola naomba msamaha, wao ni watu wa Kitabu chakula chao ni halali kwetu na chetu ni halali kwao.” Akaamrisha aliwe.

Katika uk.71 wa Kitabu hicho hicho cha Halal na Haram kinaendeleza kueleza: Kanuni ; Tusilo Tusiloliona. Wala si juu ya Muislamu kuuliza mambo asiyoyaona. Vipi kimechinjwa? Je, shuruti za kuchi nja zimekamilika ? Je, limetajwa jina la Mwenyezi Mungu wakati wa kuchinja au halikutajwa? Haya si ya kuulizwa, bali kanuni ni kuwa kila kilichochinjwa an Muislamu-hata akiwa jahili au fasiki- au kilichochinjwa na Myahudi na Mkristo, maadamu hatukukiona kilivyochinjwa basi ni halali kukila”. Mwisho wa kunukuu.


MIZAMBWA
NABII MTARAJWIA!!!
 
Redio imaan wanalalamikia viongozi wa kikristo waliohimiza waumini wao kutokula nyama iliyochinjwa na watu wa imani tofauti, wanasema hii ndio ilikua mwanzo wa mauaji huko buserere

Swali kwa redio imaan, Mi nikiamua kuchinja nyama yangu tatizo nini? Kwani nikiamua kutokula mlivochinja nyie taabu inatoka wapi?

-Sababu ni kuwa wenye muamko wa kununua nyama ni wakristo sasa unataka nyama zidode buchani halafu tule hasara
baba? Nyie chinjeni kitimoto chenu; mataka jamani kila kitu mchinje? mbona sisi tunanunua kuku supamaketi hatuhoji
kachinja nani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom