Recent content by LUGANGIRA

  1. L

    Tanzania bado ni salama sana na tunapaswa kuvipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

    Weka namba yako tukutafute kama una kitu unauza itakuwa rais kukupata
  2. L

    Mateka Waliotekwa na HAMAS waanza kuokolewa rasmi

    Jibu ulichoulizwa, achwa kubwabwaja!
  3. L

    Kwa haya anayoyafanya Paul Makonda Arusha, wakuu wengine wa idara kwani nyie mnajisikiaje?

    Tatizo umechanganya lugha, Ongea kwa Kiswahili ili fasaha, ili tuelewe
  4. L

    Video aliyorusha Miss World kuhusu hali ya umaskini Tanzania; Mama Salma na wenza wa viongozi wa Tanzania bado wanaona ni sahihi kulipwa mabilioni?

    ujinga, ubinafsi na tamaa zilizopitiliza zinaanzia hapo kwenye kutumia haki yake vibaya, hyo hoja kuipeleka Bungeni kwake ni kosa kubwa kwenye jamii yenye utambuzi na kujielewa na sababu tosha ya kufanya mamlaka na Taasisi zenye mlengo wa kuendeleza ustawi wa jamii kumulika taa kwa mhusika...
  5. L

    Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

    gube lingine, linaonesha baadhi ya makucha, sasa usiombe kujue makucha yaliyobaki yamejificha huko!
  6. L

    Uzi special: Mtongoze hapa ki-utu uzima mkamalizane live

    Shangazi, Mtu mzima hv. Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
  7. L

    Wafanyabiashara Waikimbia Bandari ya Dar na Kwenda Mombasa Port

    Mjinga mwenyewe, tena wa Kula mavi. Kuandikwa na waandishi wa nje ndio inamaanisha iko sahihi.? kwani mwandishi wa nje hawezi kununuliwa kama nyie?
  8. L

    SoC02 Azam Tv ni Funzo tosha kwa Wajasiliamali na Wafanyabiashara wanaotaka kuanzisha biashara

    Ila king'amuzi cha Azam kinaenda kufeli kutokana na kutoa Contents zenye chembe za udiniudini na hizi kutolewa Kwa kitaalam. Fuatilia tamthiliya zitazowekwa channel two Sawa nne usiku siku za wiki . Tamthiliya hizi zote zitazowekwa hutukuza dini Fulani na kuonesha dini Fulani haifai.
  9. L

    Natafuta mtu wa kushirikiana naye gharama za chumba Dar es Salaam

    Maisha ya ajabu sana!. Baada ya miaka ka mitano hv unakuta huyo ndio mwajiri wako kwenye kikampuni chake.
  10. L

    Sekondari ya Kemebos haitakiwi kuwa inaonekana 10 bora

    Wanasoma Kaizilege au wanasomea kwenye majengo ya shule ya Kaizilege.??
  11. L

    Kama ulikuwa hujui maana ya Sanctions basi waulize Warusi

    Ujinga wa level ya juu huanzia hapa kwa kuzani kuwa mtu aliyeko sehemu kama Tandaimba hawezi kuwa na uelewa mkubwa kumzidi mtu aliyoko Urusi. Usichambue mtu kwa kurefer wapi anatoka, weka kwenye mzani hoja zake na upangue kwa hoja. Acha kelele za Kishangingi
Back
Top Bottom