Recent content by Ludexer jr

  1. Ludexer jr

    Hatimaye mwanga unaonekana. Janga la UVIKO-19 ni kama inafikia tamati

    Hakuna namna bali kuishi nao tuu kama Malaria na magonjwa mengine. Maisha ni lazima ya endelee sio kila siku kupambania kitu kimoja tuu hicho hicho
  2. Ludexer jr

    January vipi huko kwenu?

    Sijui ni kwanin baadhi ya watu wamekuwa na malalamiko kuhusu mwezi January Kwangu mim January naona ni mwezi wa kawaida kama miez mingine tuu na hii ni kwa sababu ya namna mtu unavyo pangilia mipango yako, unavyo pangilia mzunguko wa pesa yako na matumiz pia, ukiweza kufanya hayo yoote huwez...
  3. Ludexer jr

    Mkoa wa Arusha una wilaya masikini sana

    Mkuu sasa hapa umezidi
  4. Ludexer jr

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Alafu mtoto akikua anasema nani kama mama daah
  5. Ludexer jr

    Wivu ulivyoharibu mahusiano yangu

    Kweli yame kuchanganya mpaka hujui unaandika lugha gani
  6. Ludexer jr

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu habar naweza pata bando hili Halotel
  7. Ludexer jr

    Ukimaliza chuo nitafute nikupe madili ila jiandae kuhaso

    Hongera mkuu kwakuwa na elimu ya maisha Nimependa ulivyo malizia
  8. Ludexer jr

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Usiku mwema
  9. Ludexer jr

    Uzalo Special Thread

    Mkuu fanya kujisogeza kwa Manzuza maana inaonekana umemzimia mazima 😄😄 Mabuza mlafi kweli yule jamaa yan limwili mpaka lina mlemea
  10. Ludexer jr

    Uzalo Special Thread

    Hahahahah mkuu kwa mabuza nimecheka sanaa Ila Manzuza daah ana shape nzuri balaa na yale magaun anayo vaa anapendeza sanaa
  11. Ludexer jr

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mtaani jua kali hatari
  12. Ludexer jr

    Uzalo Special Thread

    Mxo amekutana na makaratasi ambayo Numbuso alikuwa nayo siku ambayo alikuwa anataka kumwambia ukweli Makaratas hayo yanaweza kuwa yale yenye ukweli kuhusu Ayanda na Mxo na wazazi wao wa kweli
Back
Top Bottom