Recent content by luckyperc

  1. luckyperc

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRA na kuivunja Bodi

    IAS 18 Revenue is the gross inflow of economic benefits during the period arising in the course of the ordinary activities of an entity when those inflows result in increases in equity, other than increases relating to contributions from equity participants. Revenue shall be measured at the...
  2. luckyperc

    JamiiForums Tanzania Imekaaje gari za BOT kusafirisha fedha za noti miaka ya sasa?

    Wana bodi.. Kwa siku ya Jumatatu(31/10/2016) mkoa wa Iringa nilishuhudia gari mbili za BOT aina ya Mercedes Benz rangi ya kijivu zikiwa na escort 2 za Toyota Cruiser zinaingia mkoani Iringa. Ikasemekana zimebeba hela kuleta hapa. Kwani kwa siku za weekend watu wengi kwenye ATM walikosa hela au...
  3. luckyperc

    JamiiForums Tanzania Katuni ya gado: Your comments!!!

    jamani ID yake inajieleza!
  4. luckyperc

    JamiiForums Tanzania UShindi wa CCM Igunga ndo tiketi Ya LOWASA 2015

    PJ umechana live bila chenga. Dah leo kibwana dachi ndani ya magic FM amenifungua masikio kuhusu EL.
  5. luckyperc

    JamiiForums Tanzania Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa

    acha unafki utakupoteza, kaa ufikiri.
  6. luckyperc

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume mmelogwa?

    Mmmmmmhhh mimi hapa nitakuwa mgeni! Napita tu.
  7. luckyperc

    JamiiForums Tanzania To all job seekers particularly fresh graduates

    Haya ndo mambo ya FOREVER LIVING na hakuna jipya hapa.
  8. luckyperc

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi sana kunapunguza uwezo wa shughuli?

    Mkuu cwezi kukubaliana na wewe kwani utakuwa umechoka nini kama ni akili basi ndo sehemu ya kujiliwaza, kiuno hapo ndo pakunyosha! Sasa unachoka wapi kwa hizo kazi?
  9. luckyperc

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kumbadilisha Mpenzi wako

    Mr. Rocky umegusa kwenye swala ambalo lilinisumbua mwanzo wa mahusiano yangu, nilikuwa namtreat hash my G bt wkt wamaongezi nilijikuta nakuwa naongea myself yy kimya anakuwa ansikiliza 2. Ss cku nikaja na gear mpya ya polite language aiseee nilienjoy maongezi kwan mama alifunguka mbaya! Thn...
  10. luckyperc

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kumbadilisha Mpenzi wako

    mbona km umekubali mabadiliko thn una uliza tena! Maana ya upendo ni nn? pindi mnapokuwa p1 tabia huwa zinatofautia ili kuweka usawa kwa pande zote haina budi kuchange 2 sm level na sio kuwarigid, mabadiliko ni muhimu.
  11. luckyperc

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kumbadilisha Mpenzi wako

    naomba nikubaliane na hii kauli yako 100%.
  12. luckyperc

    JamiiForums Tanzania BAKWATA, Clouds FM huko mwendako siko!As-Salamu Alaykum

    Ilikuwa bahati mbaya nikiwa natafuta E.A. Radio jana nikamsikia kayanda anatetea ile picha ya J>K, kuwa 50 ndo amemfuata wakapiga picha! ikanibidi nizime kabisa. HEBU MSIKILIZENI KIBWANA DACHI 8:00AM MAGIC FM ni raha kweli.
  13. luckyperc

    JamiiForums Tanzania Abiria kujaa kwenye mabasi: Mwangalie huyu polisi

    Kwani wamasai sio abiria?
  14. luckyperc

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wengi wanapenda kumegwa bila condom?

    nafikiri ni uaminifu alionyesha kwako mpaka anachukua maamuzi hayo, sio kitu cha kushanga na kuona hawapendi nafikiri siku ya kwanza alikugomea kati ya mmoja wapo.
  15. luckyperc

    JamiiForums Tanzania Jamani 'short time' hotels za Sinza imezidi!

    Hasa ile ya b/malapa ni noma pale.
Back
Top Bottom